Mamdani raps Bashir indictment


Nakubaliana sana na wewe kuwa si akili hata kidogo nchi za Afrika kununua silaha za kuuwa wananchi wake, lakini ningependa kuona juhudi za kumaliza haya mauaji zikihusu pia kuzuia uuzwaji wa silaha hizo kiholela, unapomwuuzia mwenda wazimu silaha unategemea nini?? Hatuwalaumu kwa makosa hayo ila tunaona wazi kuwa wamejali faida zao za kifedha tu! Mbona silaha za Nuclea zinapouzwa au ketengenezwa mahali wasipokuwa na imani napo, wako tayari kwa lolote?
 

Nani kakuambia Mamdani wanamkubali? Au hujui kuwa wanampinga kwa kuwa anawaambia ukweli wanaouficha? Umesoma kitabu chake kipya lakini na kuona anavyoonyesha jinsi historia ya ukweli kuhusu Sudan/Darfur ilivyofichwa?
 

Mkuu hakuna cha constructive ambiguity hapo. Ni destructive ambiguity. Hivi ile WMD ilikuwa constructive? Mbona watu wamekufa na wanaendelea kufa kila kukicha huko Iraq kwa sababu hiyo?

Hakuna jambo baya kama kuchukua hatua bila kujua hali halisi. Hilo ndio fundisho kubwa kutoka kwenye kitabu kipya cha Mamdani. Hizo hatua huwa zinaleta madhara makubwa sana kwa kuwa hazizingatii uhalisia!
 

As a PHILOSOPHER you still simply BELIEVE on what you SEE and HEAR on TV?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…