Mamelod sundown watapitishwa katika tanuri la moto

Dah sentiments hizi ziko kama za Mzee Vuta ni Kuvute.
 
Nadhani hiyo ilikuwa ni Mind Game. Ni kama vile alivyosema katika hatua zile za awali kuwa wao (Yanga) shabaha (target) yao kwenye michuano ya mwaka huu (2023/24) ya CAF Champions League ni kufika Makundi.
 
Huenda Ilikuwa target sababu ukitazama Kilichotokea dhidi ya CRB ni maajabu tu ya Soka ambayo hutokea, sidhani kama Hersi alijiandaa na kumfunga goli 4 CRB. Iwapo Yanga ingeshinda mechi ya mwisho hapo tungesema ni mind game walijipanga.
 
Uliangalia ule mchezo Mkuu? Maajabu ni pale unacheza mpira wa hovyo halafu unashinda.
 
Huenda Ilikuwa target sababu ukitazama Kilichotokea dhidi ya CRB ni maajabu tu ya Soka ambayo hutokea, sidhani kama Hersi alijiandaa na kumfunga goli 4 CRB. Iwapo Yanga ingeshinda mechi ya mwisho hapo tungesema ni mind game walijipanga.
Duh kweli ukiwa mbumbumbu hata uhalisia utaukataa,yaani Mwarabu kashikilia bomba mwanzo mwisho halafu unakuja kusema kuwa ni ushindi wa bahati? Jionee huruma basi
 
Nadhani hiyo ilikuwa ni Mind Game. Ni kama vile alivyosema katika hatua zile za awali kuwa wao (Yanga) shabaha (target) yao kwenye michuano ya mwaka huu (2023/24) ya CAF Champions League ni kufika Makundi.
Sio mind game, ni uoga.

Niambie mara yenu ya mwisho kumfunga giant aliyepo top 4 ilikuwa ni lini?
 
Duh kweli ukiwa mbumbumbu hata uhalisia utaukataa,yaani Mwarabu kashikilia bomba mwanzo mwisho halafu unakuja kusema kuwa ni ushindi wa bahati? Jionee huruma basi
Nani kasema ni ushindi wa bahati? Unasahau kuna mtu alizimia?

Ninachosema ni kuwa inawezekana kabisa Yanga, mkiwemo nyinyi mashabiki hamkufikiria kuwa ile mechi mtashinda 4-0. Analysis nyingi zilibase kwenye kushinda ile mechi na kupambania droo kwa mwarabu au kumfunga na yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…