Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Hahahahaha kila mtu acheze mechi yake sioKwani umeombwa kushangilia? Hebu ishia weeeee tuachie yanga yetu
HaujaombwaWametua bana, mmeona pia mfuturishe bure uwanjani ili watu wajae mfanye yale mambo yetu.
Cwezi vaa jezi ya Mamelodi lakini siwezi kushangilia ushindi wa Yanga hata iweje.
PAMBANA NA HALI YAKO SASAsiwezi kushangilia ushindi wa Yanga hata iweje
Kumbe na ni mwananchi!kuna jezi yako og ya wananchi inakusubiria hapaKwani umeombwa kushangilia? Hebu ishia weeeee tuachie yanga yetu
Bwana mdogo kajifunze namna nzuri ya kuandika msituandike kama mko facebook.Cwezi vaa jezi ya Mamelodi lakini siwezi kushangilia ushindi wa Yanga hata iweje.