Walete hizo hela tuwauzie Miquissone.
Au nakosea ndugu zangu?
Simba wamemuokota Miquisone anazagaazagaa tu pale Ud Songo.Miqquissone mwenyewe wamewauzia wao .. uliza simba wamemnunua kutoka wapi?
Simba wamemuokota Miquisone anazagaazagaa tu pale Ud Songo.
Yani Simba wameokota Dodo chini ya muarobaini.
Hilo nalifahamu mkuu. Na nilisikia pia wanajutia na wanamtaka tena. Ndio maana nikasema wakifika dau tuwapeeMiqquissone mwenyewe wamewauzia wao .. uliza simba wamemnunua kutoka wapi?
Mbona bei ya kawaida sana hiyo. Sisi tunamuuza mmakonde wetu Euro 1.0 milioni.Mamelod Sundowns yaafikiana na Klabu ya Sepsi OSK ya nchini Romania kumuachia Mslovakia Pavol Safranko ,26, ajiunge na Mamelod ya Afrika Kusini kwa euro 700,000 zaidi ya Tsh Bilioni 1.9, dau hilo likiwa la uhamisho wa kihistoria katika Klabu hiyo ya Ligi Kuu Romania
TAKWIMU ZA PAVOL MSIMU HUU
Mechi 25
Magoli 7
Assist 4."View attachment 1754608
Yap,,alitolewa kwa mkopo Ud Songo kutoka Mamelody,wakati huo Mamelody ikifundishwa na Pitso Mosimane kocha wa sasa wa Al Ahly.Alikuwa ud songo kwa mkopo kutoka mamelodi... fuatilia viongozi wa simba walienda south kufanya nini? Ama tafuta interview ya kocha mosimane alivyokuja na al ahly dar ..
Yap,,alitolewa kwa mkopo Ud Songo kutoka Mamelody,wakati huo Mamelody ikifundishwa na Pitso Mosimane kocha wa sasa wa Al Ahly.
Nilichomaanisha"Simba kuokota dodo chini ya muarobaini"ni wanachokipata sasa timu ya Simba kutoka kwa Mequison Mamelody walikitoa bure kwa mkopo Ud Songo kisha Simba akachukua kwa kufanya mazungumzo na Mamelody.
Mequison wa sasa hata Mamelody leo hii wakitaka kumsajili watapigwa pesa ndefu tofauti na pesa walizotoa Simba kwa Mamelody kwasababu keshakuwa dodo.
Mimi sijamshindanisha Mequisone na mchezaji yeyote,ila Simba kwa Mequisone wameokota dodo chini ya muarobaini.Alitolewa kwa mkopo sababu alikosa namba mamelodi, namba yake mamelodi inachezwa na themba zwane ambaye ni winger hatari sana... hata leo hii miqquissone hana thamani / kiwango cha kumzidi zwane
[emoji23][emoji23]Utopolo mkubwa.Huo ndiyo uwekezaji,bongo Mwamedi ananunua kina Lokosa wa bei chee