Mamelod Sundowns yashinda klabu bingwa Afrika

Yethero Mgale

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2012
Posts
525
Reaction score
228
Klabu ya soka ya Mamelod Sundowns imetwaa ubingwa wa klabu bingwa Afrika baada ya kuifunga klabu ya Zamalek katika mchezo wa marudio uliochezwa nchini Misri. Ikumbukwe Mamelod walisha mchezo wa awali mabao 3-0
 
FT: Zamalek 1- 0 Mamelod
 
Yanga vipi nayo ilikuwa inacheza mchezo wa marudio Kule Kagera baada ya kushinda mchezo wa kwanza Dar Kwa bao 1-0
 
Back
Top Bottom