OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Naandika nikiwa na akili timamu wala sijawahi kuwaogopa mamelodi kukutana na yanga bali niliogopa sana kama asec angekutana na yanga wengi mtaniona mjinga lakini mtaelewa baadae.
Timu zote CAF hucheza kwa mtindo wa kupaki bus isipokuwa mamelod, hata mfumo wao ni 3:4;3 yaani mfumo wa kushambulia na kukabia kati kati.
Yanga ukicheza mpira wa kufunguka huwa inautaratibu wa kustukiza kwa kasi na kukufunga na ukichanganyikiwa zaidi ukaona liwalo na liwe unaingia kwenye mfumo unakula mkono.
Ndio maana Al Ahly siku zote hua anafunga magoli machache ila anasonga mbele sababu hucheza kwa adabu ndio maana game ya mwisho alimfunga yanga na Yanga hakupata goli kule Cairo.
Hawa mamelodi ni wepesi kama pamba kwa yanga. msije kusema sikuwaambia.