Nahisi kama Kocha ndio tatizo, huwa hana plan japo ana players .
Imepigwa ndani nje
Mechi 3 no goal huku timu inawachezaji wa bilioni 10
Kocha afukuzwe na kina Zwane Shilule hawana impact ni overrated sana
Yanga ilidhulumiwa kama TPM ilivyodhulumiwa
Yamekuwa hayo tena jamani? Mara hii mmesahau Ubuntu Botho?
Inacheza hovyo utadhan ndondo cupUbuntu botho wapuuzi sana hawawezi hata kupiga shot on goal
Hamna timu pale dada angu,Yamekuwa hayo tena jamani? Mara hii mmesahau Ubuntu Botho?
Joel Beta aligusa mpira KWA mkono. According to refaWadau Mwenye uelewa anifahamishe jinsi ambavyo goli la TP Mazembe lilivyokataliwa.Bado sijaelewa Wadau.
Hivi walifunga lini goli nadhani mechi za mwisho makundi mpaka hapa hawajagusa wavuHamna timu pale dada angu,
Kama umeangalia mechi ya leo lzm utakubaliana na mimi, Simba Ina nafuu
Maumivu ya mkeka hayaNahisi kama Kocha ndio tatizo, huwa hana plan japo ana players .
Imepigwa ndani nje
Mechi 3 no goal huku timu inawachezaji wa bilioni 10
Kocha afukuzwe na kina Zwane Shilule hawana impact ni overrated sana
Yanga ilidhulumiwa kama TPM ilivyodhulumiwa
Wadau Mwenye uelewa anifahamishe jinsi ambavyo goli la TP Mazembe lilivyokataliwa.Bado sijaelewa Wadau.