Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
Anakwenda simba huyo kuwa coach mkuu mpyaa!Mamelodi Sundowns na Rhulani Mokwena walihitimisha kwa amani makubaliano ya kukomesha ajira ya Rhulani Mokwena kama Kocha Mkuu. Sundowns inapenda kutoa shukurani zake kwa Rhulani Mokwena...
Huyo si kocha wa shirikishoanakwenda simba huyo kuwa coach mkuu mpyaa!
Wa kawaida tuMamelodi Sundowns na Rhulani Mokwena walihitimisha kwa amani makubaliano ya kukomesha ajira ya Rhulani Mokwena kama Kocha Mkuu. Sundowns inapenda kutoa shukurani zake ...
Hatawasahau Yanga huyu jamaaMamelodi Sundowns na Rhulani Mokwena walihitimisha kwa amani makubaliano ya kukomesha ajira ya Rhulani Mokwena kama Kocha Mkuu...
Ila Nabi alikuaHuyo si kocha wa shirikisho
SIMBA wasifanye tena KOCHA kama BENCHIKA....anakwenda simba huyo kuwa coach mkuu mpyaa!
Sasa huyo jamaa na Mgunda/Matola tofauti yao ni ipi!! Nitawashangaa sana Makolo kama watamuajiri huyo kocha.MBUMBUMBU washindwe wao sasa.
Hatumtaki.Sasa huyo jamaa na Mgunda/Matola tofauti yao ni ipi!! Nitawashangaa sana Makolo kama watamuajiri huyo kocha.