Mamelody watavaa jezi ya rangi ipi?

chase amante

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2018
Posts
5,599
Reaction score
2,115
Siku ya jumamosi katika mtanange wa young Africans na mamelody ,je mamelody watavaa ule Uzi wao wa rangi ya njano na bukta ya bluu(Ubuntu bothu) au ule wa rangi nyeusi?
Nimeuliza hivi kwa sababu hata young Africans Wana uzi wa kijani/njano ambao kama watavaa wa njano utafanania na ule wa mamelody jambo ambalo litaleta utata kulingana na kanuni za caf.
 
Kitu nilichokigundua ni Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
 
Blue/Yellow
 
Kweli hizi mada nyingine unaona kabisa mtu amekosa kazi ya kufanya ndiyo analazimisha kuanzisha thread. Hizo kanuni mbona zinafahammika kwa wote.
ni wengi mkuu hawana kazi za kufanya sio huyu tuπŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna watu wanapost masaa 24. Yaani nikirudi mishe nimechoka napita kwa mama kibonge kula nikitoka hapo ni kitandani ila kuna watu humu nawapa saluti. Muda wote utakuta nyuzi zao zimepishana dakika
 
njano sisi wananchi tutavaa nyeusi
 
Yaani hili nalo ni la kujiuliza? Hujui kuwa uzi wa njano na bluu ni home kit ya mamelod?
 
yeyote atakaye vaa njano lazima atapigwa za kutosha
 
Kweli hizi mada nyingine unaona kabisa mtu amekosa kazi ya kufanya ndiyo analazimisha kuanzisha thread. Hizo kanuni mbona zinafahammika kwa wote.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kuna watu wana maswali ya kipuuzi.
Usikute hapo wamebishana si mchezo kwenye kijiwe cha drafti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…