Mamia Wamzika Chuma Suleiman (Bi Hindu) katika makaburi ya Mwinyi Mkuu Jijini Dar es Salaam

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
MAMIA WAMZIKA MSANII NGULI WA FILAMU BI CHUMA SULEIMAN (BI HINDU)

Mamia ya wananchi viongozi, wanamichezo, wasanii wa tasnia mbali mbali nchini Jumapili 10 Julai 2022 wamejumuika katika mazishi ya Msanii Nguli wa Filamu Bi Chuma Suleiman Maarufu (Bi Hindu) yaliyofanyima nyumbani kwake Magomeni Butiama na kuzikwa katika makaburi ya Mwinyi Mkuu Jijini Dar Es Salam

”Chama cha Mapinduzi kitamkumbuka Bi Chuma kwa mchango wake mkubwa katika kutetea utaifa wetu kwa kudumisha utamaduni, mila, silka na desturi zetu hasa katika kuelimisha, kuhamasisha, kuburudisha na kulea rika zote kupitia semi, tungo na ujumbe maridhiwa katika nyakati tofauti” Sehemu ya salam za pole zilizowasilishwa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka.

Pamoja na viongozi kadhaa walitoa salamu za pole Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Mohamed Mchengerwa aliwasilisha salamu za Serikali na mkono wa rambi rambi kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa Ndugu Samia Suluhu Hassan

Bi Chuma Suleiman (Bi Hindu) alifariki dunia Jumamosi 09 Julai 2022 baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Sote ni wa MwenyeziMungu na kwake ni Marejeo.

IMG-20220710-WA0020.jpg
IMG-20220710-WA0017.jpg
IMG-20220710-WA0019.jpg
IMG-20220710-WA0021.jpg
IMG-20220710-WA0018.jpg
IMG-20220710-WA0022.jpg
 
MAMIA WAMZIKA MSANII NGULI WA FILAMU BI CHUMA SULEIMAN ((BI HINDU)

Mamia ya wananchi viongozi, wanamichezo, wasanii wa tasnia mbali mbali nchini Jumapili 10 Julai 2022 wamejumuika katika mazishi ya Msanii Nguli wa Filamu Bi Chuma Suleiman Maarufu (Bi Hindu) yaliyofanyima nyumbani kwake Magomeni Butiama na kuzikwa katika makaburi ya Mwinyi Mkuu Jijini Dar Es Salam

”Chama cha Mapinduzi kitamkumbuka Bi Chuma kwa mchango wake mkubwa katika kutetea utaifa wetu kwa kudumisha utamaduni, mila, silka na desturi zetu hasa katika kuelimisha, kuhamasisha, kuburudisha na kulea rika zote kupitia semi, tungo na ujumbe maridhiwa katika nyakati tofauti” Sehemu ya salam za pole zilizowasilishwa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka.

Pamoja na viongozi kadhaa walitoa salamu za pole Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Mohamed Mchengerwa aliwasilisha salamu za Serikali na mkono wa rambi rambi kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa Ndugu Samia Suluhu Hassan

Bi Chuma Suleiman( Bi Hindu) alifariki dunia Jumamosi 09 Julai 2022 baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Sote ni wa MwenyeziMungu na kwake ni Marejeo.
View attachment 2286306View attachment 2286307View attachment 2286308View attachment 2286309View attachment 2286310View attachment 2286311
picha ya marehemu tafadhali
 
Inna lillahi wainna ilayhi raajiun
Sisi sote ni wa M/mungu, na kwake tutarejea
 
Back
Top Bottom