Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mamia ya wanajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF) wameripotiwa kuuawa katika operesheni za siri Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).
Kuuawa kwa wanajeshi hao katika operesheni hiyo kunapingana na msimamo wa Serikali ya Rwanda inayodai askari wake hawahusiki wala kushiriki katika mzozo unaoendelea kati ya M23 na DRC.
Soma: Dar: Rais Samia ashiriki Mkutano wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa EAC na SADC Februari 8, 2025
Vyanzo mbalimbali vya kijasusi, kijeshi na kidiplomasia vinasema idadi ya wanajeshi wa RDF waliouawa ni kubwa, huku wakidai walikuwa wakisaidia mashambulizi yanayofanywa na waasi wa M23 ndani ya DRC.
Picha za setilaiti zilizopigwa katika makaburi ya kijeshi yaliyoko Kigali, nchini Rwanda, zinaonyesha makaburi mapya yasiyopungua 600 yaliyopatikana tangu waasi wa M23, wanaodaiwa kuungwa mkono na RDF, walipoanza operesheni zao ndani ya DRC miaka mitatu iliyopita.
Soma, Pia:
Hundreds of Rwandan troops have been killed during covert operations in the eastern Democratic Republic of the Congo (DRC), contradicting claims from Kigali that its soldiers are not involved in the conflict there.
Multiple intelligence, military and diplomatic sources say that “very significant” numbers of soldiers from the Rwanda Defence Force (RDF) have died supporting an offensive by M23 rebels in DRC.
Satellite imagery of one military cemetery in the Rwandan capital of Kigali indicates at least 600 graves have been dug since the M23 – backed by RDF troops – restarted operations within DRC three years ago.
Two high-ranking intelligence officials with knowledge of the RDF say the true losses sustained by Rwanda probably run into the “thousands”, but pinning down a definitive figure is challenging.
Another senior source says a number of dead Rwandan troops were secretly buried in “mass graves” in DRC when it was impossible to return their bodies across the border.
They say that families were given empty coffins when corpses could not be returned. “Not all soldiers that perished in DRC were able to be repatriated, especially in areas under a lot of fire. Some were buried in mass graves,” they add.
Rwandan casualties are so high that a new wing has been built at Kigali’s military hospital to deal with them. Its mortuary is full, the source says.
SOURCE: theguardian.com

- M23 waliamsha tena DRC, Wauteka mji wa Nyabibwe, Jimbo la Kivu Kusini
- Maelfu ya wakazi wa Goma wakusanyika uwanjani kusikiliza Hotuba ya Corneille Nangaa kiongozi wa AFC/M23
- Askari wawili JWTZ wafariki dunia, wanne wajeruhiwa mashambulizi ya M23 huko Goma, DRC