Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wakuu
Mamia ya Wananchi wa kijiji cha Kiloleni-Busega wamejitokeza Kumlaki Mhe. Makamu Mwenyekiti CHADEMA Taifa, John Heche akiwa njiani kuelekea Lamadi huko Simiyu kwenye Mapokezi baada ya kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.
Pia, Soma:

- Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche, Lamadi - Simiyu
- Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025