Pre GE2025 Mamia ya Wananchi wa Kiloleni wamlaki Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche akiwa njiani kwenda Lamadi-Simiyu kwa Mapokezi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

Mamia ya Wananchi wa kijiji cha Kiloleni-Busega wamejitokeza Kumlaki Mhe. Makamu Mwenyekiti CHADEMA Taifa, John Heche akiwa njiani kuelekea Lamadi huko Simiyu kwenye Mapokezi baada ya kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.
Your browser is not able to display this video.


Your browser is not able to display this video.


Your browser is not able to display this video.
Pia, Soma:
 
nilidhani maelfu na mamilioni ya wananchi kama wanavyomlaki makamu mwenyekiti wa CCM taifa, kumbe mamia tu 🐒
 
Bila misaada wa Nape, Makamba, Kinana na Yule Mzee aliyehamia Chadema pamoja na Lowassa (RIP)CCM hawatoboi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…