Mamia ya Wayahudi wa Iran wakiwa katika sherehe kubwa ya kumsimika Rabbi wao huko Tehran

Mamia ya Wayahudi wa Iran wakiwa katika sherehe kubwa ya kumsimika Rabbi wao huko Tehran

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368

Pamoja na ushabiki wetu, tunakumbusha tu Iran kuna wayahudi wengi tu na wanaendelea Kula maisha bila bugdha yoyote.

Video ya kuvutia sana.

Wayahudi wa Iran mjini Tehran wakisherehekea kuhitimu kwa marabi wapya na wachinjaji nyama. Kulingana na CNN na Fox News wanakandamizwa

Ni hayo tu.
 
Usishangae Iran wapo watu wa dini zote , wanafanya ibada zao achana na porojo sijui kukamatwa kisa mtu ana dini tofauti ni uongo. Hata uwe muislamu hapo Iran huruhusiwi kuchoma biblia au kumkashifu Yesu.
 
Usishangae Iran wapo watu wa dini zote , wanafanya ibada zao achana na porojoagunaijui kukamatwa kisa mtu ana dini tofauti ni uongo ...Hata uwe muislamu hapo Iran huruhusiwi kuchoma biblia au kumkashifu yesu .
sijaguna kutetea pande yoyote ile!
 
Hivi kwa nini hawa jamaa wanaumoja sana kulikoni mahasimu wao Warabu?
 
Iran ina dini zote ila inakataa mwislamu kubadili dini na kuingia kwenye ukristo. Afadhali ya Iran kuliko Saud Arabia ambapo ukristo ni marufuku, hakuna kanisa hata moja nchi nzima. Iran wakristo wapo
 
Iran ina dini zote ila inakataa mwislamu kubadili dini na kuingia kwenye ukristo. Afadhali ya Iran kuliko Saud Arabia ambapo ukristo ni marufuku, hakuna kanisa hata moja nchi nzima. Iran wakristo wapo
Nao ni Uoga. Wengi tu ni wa kristo kificho huko na wana badilisha kupitia TV na social media. Hiyo ni zuga ili kitu za image ya uislam. Kufuata dini kwa sababu ya shurti ni utumwa mkubwa kuliko uliokomeshwa wakati wa biashara ya pembe tatu.
 
Kama sio wanasiasa raia mbona hawana shida wao kwa wao sema siku zote tunaingia kwenye migogoro ya wanasiasa
 
Wayahudi wengi wana umoja wa hali ya juu lakini siyo wote, tuliona kiongozi wa Wegner kule Rusia ambaye ni myahudi alivyoshambulia Ukraine inayoongozwa na rais Myahudi bwana Zelensky
Kwa taarifa yako waliomzunguka Putin ni Jews karibu wote. Ishu sio kuchukiwa ishu ni maslah ya nchi. Ukraine hapigwi kwasababu ya rais waliyenaye ila kwasababu inawaruhusu western kuisogelea urusi.
 
Back
Top Bottom