matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Usishangae Iran wapo watu wa dini zote , wanafanya ibada zao achana na porojo sijui kukamatwa kisa mtu ana dini tofauti ni uongo. Hata uwe muislamu hapo Iran huruhusiwi kuchoma biblia au kumkashifu Yesu.
sijaguna kutetea pande yoyote ile!Usishangae Iran wapo watu wa dini zote , wanafanya ibada zao achana na porojoagunaijui kukamatwa kisa mtu ana dini tofauti ni uongo ...Hata uwe muislamu hapo Iran huruhusiwi kuchoma biblia au kumkashifu yesu .
Wayahudi wengi wana umoja wa hali ya juu lakini siyo wote, tuliona kiongozi wa Wegner kule Rusia ambaye ni myahudi alivyoshambulia Ukraine inayoongozwa na rais Myahudi bwana ZelenskyHivi kwa nini hawa jamaa wanaumoja sana kulikoni mahasimu wao Warabu?
Nao ni Uoga. Wengi tu ni wa kristo kificho huko na wana badilisha kupitia TV na social media. Hiyo ni zuga ili kitu za image ya uislam. Kufuata dini kwa sababu ya shurti ni utumwa mkubwa kuliko uliokomeshwa wakati wa biashara ya pembe tatu.Iran ina dini zote ila inakataa mwislamu kubadili dini na kuingia kwenye ukristo. Afadhali ya Iran kuliko Saud Arabia ambapo ukristo ni marufuku, hakuna kanisa hata moja nchi nzima. Iran wakristo wapo
Zile ni za vijiweni. Majengo makubwa ya Iran yamejengwa na wakandalasi wa kiyahudi.Utasikia nchi hyo lazima uwe muislamu la sivyo unauliwa ..πππ
Unajua watu wanapenda habari za chuki kuliko nzuri yaani .Zile ni za vijiweni. Majengo makubwa ya Iran yamejengwa na wakandalasi wa kiyahudi.
Ni kweli aisee. Wananchi huwa wanalazimishwa kuingizwa kwenye mambo yasiyowahusuKama sio wanasiasa raia mbona hawana shida wao kwa wao sema siku zote tunaingia kwenye migogoro ya wanasiasa
Kwa taarifa yako waliomzunguka Putin ni Jews karibu wote. Ishu sio kuchukiwa ishu ni maslah ya nchi. Ukraine hapigwi kwasababu ya rais waliyenaye ila kwasababu inawaruhusu western kuisogelea urusi.Wayahudi wengi wana umoja wa hali ya juu lakini siyo wote, tuliona kiongozi wa Wegner kule Rusia ambaye ni myahudi alivyoshambulia Ukraine inayoongozwa na rais Myahudi bwana Zelensky