Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Nzige, uhaba wa mvua na virusi vya corona ni mchanganyiko mbaya sana. Nyie wakenya acheni kuranda randa humu na kujisifia kila siku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nzige, uhaba wa mvua na virusi vya corona ni mchanganyiko mbaya sana. Nyie wakenya acheni kuranda randa humu na kujisifia kila siku.
Hivi wewe unawafahamu vizuri hao watu unaowatetea kweli?Kawaida yetu Wtz si kushangilia matatizo ya wenzetu. Cha msingi tuwaombee. Sisi tuko salama kwa neema tu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu una akili sana,ndio maana tunadharaulika duniani sababu ya undezi kama huu wa kushangilia mwenzako anapopatwa majanga.Alafu sionagi cha maana kushindana Tanzania x Kenya, unaweza kuta mtu ana mada nzuri ila anaanza utanzania, ukenya. Ni ujinga.
Kenya wakifa njaa Tanzania utafaidika nini? Afrika ni Moja.
Lazima tuache ubaguzi wa kutengena sisi kwa sisi, hatutaondoa ukoloni mambo leo kama tutakuwa wajinga wakubaguana na kushindana kwa ujinga Kenya vs Tanzania
Dumelang