Mamiss (Warembo) nje ya vichupi vyao majukwaani, wanaweza kufaa kuolewa?

Mamiss (Warembo) nje ya vichupi vyao majukwaani, wanaweza kufaa kuolewa?

Civilian Coin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
2,305
Reaction score
4,380
RASILIMALI MKE.

Ukiujua huu Utamaduni vizuri, utapata Mke Mwema na mlezi wako kutoka Mabinti walio wahi kushiriki Mashindano ya Warembo. Vichupi vyao jukwaani sio tija ila ni jàdi ya mashindano.
 
Back
Top Bottom