tindikalikali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,854 Reaction score 1,129 Sep 11, 2011 Thread starter #21 Bujibuji said: hawa mamiss wetu kwa mara ya mwisho kufaulu darasani ilikuwa ni mtihani wa darasa la nne. Baada ya hapo hamna kitu Click to expand... kweli kabisa, tena ni watu wasiopenda kujifunza kabisa, viota vyao ni FB kutwa ku-upload picha ili wavune misifa.
Bujibuji said: hawa mamiss wetu kwa mara ya mwisho kufaulu darasani ilikuwa ni mtihani wa darasa la nne. Baada ya hapo hamna kitu Click to expand... kweli kabisa, tena ni watu wasiopenda kujifunza kabisa, viota vyao ni FB kutwa ku-upload picha ili wavune misifa.
Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,478 Reaction score 3,659 Sep 11, 2011 #22 Sijui katika kipengele cha maswali walitumia vigezo gani ku jaji. Walikula machaka mbaya!
KALYOVATIPI JF-Expert Member Joined Aug 11, 2011 Posts 1,414 Reaction score 199 Sep 11, 2011 #23 wale si vitoto avijui hata vita ni nn lakini pale tayari watu wameshagawana vya kuuzia sura navyo
Safety last JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 4,236 Reaction score 1,411 Sep 11, 2011 #24 Wanatumia visaburi vyao kujibu!