Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Gwaji Boy ni zaidi ya rais wa JMT!. Mfahamu Askofu Dr. Jesephat Gwajima, ni zaidi ya Mbunge, ni zaidi ya Waziri, ni zaidi Rais! Ni Mtumishi wa Bwana aliye Hai! Sio mtu wa mchezo mchezo!Gwajima katandika sana leo.
Hoja zake kubwa ni:
1. Serikali ijitafakari na usiingie uchaguzini bila kuweka mambo sawa sawa.
2. Serikali ifungue makanisa in 10 days.
3. Serikali imuachie Lissu bila masharti..Amesema hata yeye Lissu anamuhusu,sio kwa wanachadema tu na akaenda mbali akasema Lissu ana issues zaxafya kutokana na kupigwa risasi,kwa mfano ikitokea kapata matatizo au kama gerezani ni Mwananchi gani atakubali kuwa kama Natural death
4. Amesisitiza Reforms zifanyike kabla ya uchaguzi.(Amesema hebu CCM wajenge picha kuwa Mkurugenzi wa Tume,Mkurugenzibwa Halmashauri nk wateuliwe na Lissu na Lissu ni mmoja wa wagombea je CCM watakubali??)
5. Kawapongeza wazee wastaafu wanaongea kushauri mambo kama Butiku na Warioba na kamshauri sana Kikwete kufanya yanayompasa kufanya kiusahihi kama Rais pekee mstaafu
6. Kasisitiza Majeshi na vyombo vya usalama kuwa nani nguvu ya kuangalia mambo hasa taasisi ya Urais inapokuwa haiendi sawa wawe na vikao pembeni na karudia hoja yake kuwa wakuu wake wasiondolrwe bila Bunge kuraarifiwa sababu na kushiriki maamuzi
Amefikia kutishia kuwa iwapo makanisa ya Ufufuo na Uzima hayatafunguliwa in 10 days atakuja na kuongea jambo ambalo hakuna atakayeamini hapo tarehe 24 au 25 mwezi huu.
Zaidi zaidi kakumbushia kwa JK na CCM kuwa ushindi wa chama chao ni muhimu lakini hauwezi kushinda umuhimu wa Masilahi ya Taifa
Huyu mzee Kikwete hashauriki, ni mroho sana.na kamshauri sana Kikwete kufanya yanayompasa kufanya kiusahihi kama Rais pekee mstaafu
Ila kampa za uso kizimkazi. Angekuwa ana akili angesikiliza maoni ya wananchi. Tatizo ilimu za kuungaunga hizi ni shida.Gwajima katandika sana leo.
Hoja zake kubwa ni:
1. Serikali ijitafakari na usiingie uchaguzini bila kuweka mambo sawa sawa.
2. Serikali ifungue makanisa in 10 days.
3. Serikali imuachie Lissu bila masharti..Amesema hata yeye Lissu anamuhusu,sio kwa wanachadema tu na akaenda mbali akasema Lissu ana issues zaxafya kutokana na kupigwa risasi,kwa mfano ikitokea kapata matatizo au kama gerezani ni Mwananchi gani atakubali kuwa kama Natural death
4. Amesisitiza Reforms zifanyike kabla ya uchaguzi.(Amesema hebu CCM wajenge picha kuwa Mkurugenzi wa Tume,Mkurugenzibwa Halmashauri nk wateuliwe na Lissu na Lissu ni mmoja wa wagombea je CCM watakubali??)
5. Kawapongeza wazee wastaafu wanaongea kushauri mambo kama Butiku na Warioba na kamshauri sana Kikwete kufanya yanayompasa kufanya kiusahihi kama Rais pekee mstaafu
6. Kasisitiza Majeshi na vyombo vya usalama kuwa nani nguvu ya kuangalia mambo hasa taasisi ya Urais inapokuwa haiendi sawa wawe na vikao pembeni na karudia hoja yake kuwa wakuu wake wasiondolrwe bila Bunge kuraarifiwa sababu na kushiriki maamuzi
Amefikia kutishia kuwa iwapo makanisa ya Ufufuo na Uzima hayatafunguliwa in 10 days atakuja na kuongea jambo ambalo hakuna atakayeamini hapo tarehe 24 au 25 mwezi huu.
Zaidi zaidi kakumbushia kwa JK na CCM kuwa ushindi wa chama chao ni muhimu lakini hauwezi kushinda umuhimu wa Masilahi ya Taifa
Hana lolote zaidi ya kuweweseka tu .kama angekuwa na issues sensitive sana angeongea sasa sio kusema hadi siku kumi.
Bado wanajipanguza machozi ya moshi mkaliKombora zito limetuwa moshi ukiisha tuone wenye Macho mekundu!!
Kwa hiyo ule wa 2025 ulikuwa halali?
Makombora yameanza kurushwa. Katikati ya kampeni itakuwaje????Vita nzuri ni ile ambayo unaficha silaha zako nzuri mpaka mwishoni.
Sema wengi huko CCM ni waoga. Huyu Mama hakubaliki na siku ya uchaguzi mtaona kama watu wengi wataenda kupiga kura.Kwakweli huyu mzee ameongea nilichogundua huyu mama hawampendi kabisa
Umesusiwa nanani mkuu?Uchaguzi upigwe ila hauna uhalali, tangu tupate Uhuru ni uchaguzi gani mkuu uliwahi kususiwa kama huu?
Unahoji mamlaka ya Gwajima kisa tu kaongea ukweli! Ila hatuoni ukihoji mamlaka waliyo jipachika ccm na watu wake ya kutuamulia watu zaidi ya milioni 60 maisha yetu ya kila siku, na pasipo ridhaa yetu kwa miaka zaidi ya 40 sasa!!Gwajima katandika sana leo.
Hoja zake kubwa ni:
1. Serikali ijitafakari na usiingie uchaguzini bila kuweka mambo sawa sawa.
2. Serikali ifungue makanisa in 10 days.
3. Serikali imuachie Lissu bila masharti..Amesema hata yeye Lissu anamuhusu,sio kwa wanachadema tu na akaenda mbali akasema Lissu ana issues zaxafya kutokana na kupigwa risasi,kwa mfano ikitokea kapata matatizo au kama gerezani ni Mwananchi gani atakubali kuwa kama Natural death
4. Amesisitiza Reforms zifanyike kabla ya uchaguzi.(Amesema hebu CCM wajenge picha kuwa Mkurugenzi wa Tume,Mkurugenzibwa Halmashauri nk wateuliwe na Lissu na Lissu ni mmoja wa wagombea je CCM watakubali??)
5. Kawapongeza wazee wastaafu wanaongea kushauri mambo kama Butiku na Warioba na kamshauri sana Kikwete kufanya yanayompasa kufanya kiusahihi kama Rais pekee mstaafu
6. Kasisitiza Majeshi na vyombo vya usalama kuwa nani nguvu ya kuangalia mambo hasa taasisi ya Urais inapokuwa haiendi sawa wawe na vikao pembeni na karudia hoja yake kuwa wakuu wake wasiondolrwe bila Bunge kuraarifiwa sababu na kushiriki maamuzi
Amefikia kutishia kuwa iwapo makanisa ya Ufufuo na Uzima hayatafunguliwa in 10 days atakuja na kuongea jambo ambalo hakuna atakayeamini hapo tarehe 24 au 25 mwezi huu.
Zaidi zaidi kakumbushia kwa JK na CCM kuwa ushindi wa chama chao ni muhimu lakini hauwezi kushinda umuhimu wa Masilahi ya Taifa
Ndugu sio kupiga kura Subiri kampeni zianze ndio utaelewa Watanzania wapo pamoja na Serikali yao pamoja na CCM !!Sema wengi huko CCM ni waoga. Huyu Mama hakubaliki na siku ya uchaguzi mtaona kama watu wengi wataenda kupiga kura.
πβοΈπ―ππ€ππππ‘οΈGwajima katandika sana leo.
Hoja zake kubwa ni:
1. Serikali ijitafakari na usiingie uchaguzini bila kuweka mambo sawa sawa.
2. Serikali ifungue makanisa in 10 days.
3. Serikali imuachie Lissu bila masharti..Amesema hata yeye Lissu anamuhusu,sio kwa wanachadema tu na akaenda mbali akasema Lissu ana issues zaxafya kutokana na kupigwa risasi,kwa mfano ikitokea kapata matatizo au kama gerezani ni Mwananchi gani atakubali kuwa kama Natural death
4. Amesisitiza Reforms zifanyike kabla ya uchaguzi.(Amesema hebu CCM wajenge picha kuwa Mkurugenzi wa Tume,Mkurugenzibwa Halmashauri nk wateuliwe na Lissu na Lissu ni mmoja wa wagombea je CCM watakubali??)
5. Kawapongeza wazee wastaafu wanaongea kushauri mambo kama Butiku na Warioba na kamshauri sana Kikwete kufanya yanayompasa kufanya kiusahihi kama Rais pekee mstaafu
6. Kasisitiza Majeshi na vyombo vya usalama kuwa nani nguvu ya kuangalia mambo hasa taasisi ya Urais inapokuwa haiendi sawa wawe na vikao pembeni na karudia hoja yake kuwa wakuu wake wasiondolrwe bila Bunge kuraarifiwa sababu na kushiriki maamuzi
Amefikia kutishia kuwa iwapo makanisa ya Ufufuo na Uzima hayatafunguliwa in 10 days atakuja na kuongea jambo ambalo hakuna atakayeamini hapo tarehe 24 au 25 mwezi huu.
Zaidi zaidi kakumbushia kwa JK na CCM kuwa ushindi wa chama chao ni muhimu lakini hauwezi kushinda umuhimu wa Masilahi ya Taifa
Mwanachi yupi katoa maoni yake !! Mbona kila Sehemu RAIS wetu wananchi wanamkubali sana na kujazana kila anapotembea!!Ila kampa za uso kizimkazi. Angekuwa ana akili angesikiliza maoni ya wananchi. Tatizo ilimu za kuungaunga hizi ni shida.