Mamlaka haya makubwa Gwajima kayapata wapi?

Mpumbavi mmoja hivi apuuzwe.Unafiki na chuki dhidi ya Samia unamsumbua
 
 
Mliuzia chadema kuongea mkaona km kikwazo sasa mawe yanaongea na bdo huwezi kuzuia mafurik o kwa mkono.NB Hata km samia akishnda urais kwa uchaguzi feki ataongoza kwa shda na nchi haitatawalika
Day dream
 
Usiwaonee viongozi wa dini, wengi wamesema mpaka wametoa nabii zao lakini watu wameziba masikio
 
Mbona mkapa au nyerere hawakuuawa????. Tatizo yeye kichwa cha nazi. Kimejaa maji??
 
Wasiwe wanakaa kimya mda mrefu bana, sie wengine ndio Encypclopedia kwenye vijiwe vyetu, tunategemewa kwa fix za hapa na pale.
 
Gwaji Boy ni zaidi ya rais wa JMT!.
P
Pascal Mayalla salama mzee wangu...?

Hawa wanaouliza Askofu Gwajima katoa wapi ujasiri wa kuzungumza kwa mamlaka vile, ikanikumbusha na kuirejelea historia ya Yesu Kristo...

Kuna wakati Yesu Kristo alikuwa mbele ya mafarisayo, na Baraza la wazee, watoza ushuru na masudakayo (viongozi wa serikali). Akashusha hotuba ya kimamlaka iliyopelekea wamuhoji kumuuliza, ametoa wapi amri (mamlaka) ya kusema hayo? Nani kampa amri (mamlaka) ya kusema hayo..?

Majibu yake yalikuwa very simple....

The whole story is hereπŸ‘‡πŸ‘‡
Mathayo 21:23-27 SUV
".....Hata alipokwisha kuingia hekaluni, wakuu wa makuhani na wazee wa watu wakamwendea alipokuwa akifundisha, wakasema, Ni kwa amri gani unatenda mambo haya? Naye ni nani aliyekupa amri hii? Yesu akajibu akawaambia, Na mimi nitawauliza neno moja; ambalo mkinijibu, nami nitawaambia ni kwa amri gani ninatenda haya. Ubatizo wa Yohana ulitoka wapi? Ulitoka mbinguni, au kwa wanadamu? Wakahojiana wao kwa wao, wakisema, Tukisema, Ulitoka mbinguni, atatuambia, Mbona basi hamkumwamini? Na tukisema, Ulitoka kwa wanadamu, twaogopa mkutano; maana watu wote wamwona Yohana kuwa ni nabii. Wakamjibu Yesu wakasema, Hatujui. Naye akawaambia, Wala mimi siwaambii ninyi ni kwa amri gani ninatenda haya..."​

Na leo watu wanaouliza, kwanini huyu Askofu Gwajima anaongea kwa mamlaka hivi? Katoa wapi mamlaka hayo...?

Jibu ni rahisi mno. Aliye ndani yake (Mungu Adonai ktk Yesu Kristo) ni mkuu na mwenye mamlaka makuu kuliko aliye ndani ya anaowapa ushauri...

The best thing ni kuwa, Askofu Josephat Gwajima kaongea ukweli mchungu sana, unaopenya hadi kwenye mifupa ya wale wanaotakiwa kubadilika na kubadilisha mitizamo yao hasi (negative perception) kwa hekima na busara ya hali ya juu sana..

Wasipoelewa, basi itakuwa bahati mbaya sana. Na pengine ndiyo itakuwa fate yao...

Tlaatlaah aisome pia hii. Huyu ni miongoni mwa wachache wagumu na wenye akili nzito sana kuelewa mambo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…