K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 18,577 Reaction score 23,171 Aug 17, 2025 #101 Anataarifa za kumiminiwa risasi Lisu huyoooo mjicheleweshe amwage ugali
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,731 Aug 17, 2025 #102 KING MIDAS said: Unafanya Nini huko mchambani? Click to expand... Naloga π‘π‘π‘π‘
TAJIRI MKUU WA MATAJIRI JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 11,999 Reaction score 24,328 Aug 17, 2025 Thread starter #103 Mulhat Mpunga said: Naloga π‘π‘π‘π‘ Click to expand... Njoo chobingo unirogr hadi niseme yerewiiii
Mulhat Mpunga said: Naloga π‘π‘π‘π‘ Click to expand... Njoo chobingo unirogr hadi niseme yerewiiii
N Nanye Go JF-Expert Member Joined Oct 29, 2018 Posts 14,379 Reaction score 19,134 Aug 18, 2025 #104 Niliwaambia badala kuwa na vyama vya siasa mlipaswa kuwa na vikundi vya kijeshi kama m23. Kule DRC Wakizinguana M23 wana rudi porini hakuna kubembelezana. Huku mnatafuta huruma za ccm.
Niliwaambia badala kuwa na vyama vya siasa mlipaswa kuwa na vikundi vya kijeshi kama m23. Kule DRC Wakizinguana M23 wana rudi porini hakuna kubembelezana. Huku mnatafuta huruma za ccm.
M Matawi ya juu JF-Expert Member Joined Mar 5, 2019 Posts 8,048 Reaction score 15,651 Aug 18, 2025 #105 BOSSES said: Hana lolote zaidi ya kuweweseka tu .kama angekuwa na issues sensitive sana angeongea sasa sio kusema hadi siku kumi. Click to expand... Acha ujinga, alichoongea sio mipasho kama mlivyozoea, nchi inaumia
BOSSES said: Hana lolote zaidi ya kuweweseka tu .kama angekuwa na issues sensitive sana angeongea sasa sio kusema hadi siku kumi. Click to expand... Acha ujinga, alichoongea sio mipasho kama mlivyozoea, nchi inaumia
M Matawi ya juu JF-Expert Member Joined Mar 5, 2019 Posts 8,048 Reaction score 15,651 Aug 18, 2025 #106 Gwajiboy namkubali sana ingawaje najua he is not perfect, JPM naye nilikuwa namkubali sana lakini nilikuwa disappointed sana na siasa zake za kihuni na udikteta wa kifala
Gwajiboy namkubali sana ingawaje najua he is not perfect, JPM naye nilikuwa namkubali sana lakini nilikuwa disappointed sana na siasa zake za kihuni na udikteta wa kifala