MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Haiingii Akilini nililishuhudia likibomolewa mwaka 2014 cha Kushangaza hadi leo mwaka 2022 lipo vile vile na kama Mwenye Jengo kaamua Kulisusia au Mamlaka nayo imeamua Kulisusia.
Tafadhali Mamlaka husika ama mumwambie mwenye Jengo alijenge upya au kama sasa lipo chini ya Mamlaka basi liendelezwe kwani lilivyo sasa halipendezi Kimwonekano ukizingatia lipo jirani na Barabara Kubwa na Muhimu na pia lipo Jirani na Shekinah Garden Mbezi Beach ambayo Watu Wastaarabu, Wanaojitambua na Makini hupenda kwenda Kutumia kidogo zile Faida zao za Kifedha walizozipata kutoka katika Biashara, MisheMishe na Kazi zao Halali mbalimbali.
Mamlaka husika niwaibieni tu Siri kuwa hivi sasa hilo Jengo hapo limekuwa ndiyo Gesti / Loji Bubu kwa hao Madereva wa Teksi walio kwa mbele na Madereva Bodaboda na Bajaji huku Wahanga Wakuu wa Kutiwa ( Kulalwa ) humo ( hasa Nyakati za Usiku ) wakiwa ni Wanafunzi wa Secondary ( Upili ), Mama Lishe wa maeneo ya Jirani, Mabaa Medi wa Kumbi za Jirani na Wadada wa Kazi wa eneo hilo.
Na kama Mamlaka mtaamua kuanza Kulishughulikia hili ( hilo Jengo ) naomba muanze Ratiba yenu kuanzia Siku ya Alhamisi kwani hata Mimi pia kuanzia Leo Idi Mosi na Kesho Idi Pili kuna Watu Wawili nina Shughuli nao kwa kule Juu ( ambako Mbao zimeoza na Matofali yameweka Ufa ) na kama mkiamua kuja leo mtakuwa mmeniharibia Mipango yote kama vile ambavyo Majuzi Mshambuliaji Hatari sana Tanzania nzima wa Yanga SC Mayele aliharibiwa Mipango yote na Beki mwenye Akili Kubwa Tanzania nzima Henock Inonga Baka.