Mamlaka husika saidieni wanachuo ambao wamepangiwa kupewa Mkopo na hawajapewa

Mamlaka husika saidieni wanachuo ambao wamepangiwa kupewa Mkopo na hawajapewa

Afrikasana

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2021
Posts
320
Reaction score
288
Ninawasalimia wenzangu wanajukwaa
Nimekosa usingizi muda huu nakuamua kutumia fursa hii kufikisha ujumbe wangu.
Je mamlaka husika zifahamu kwamba wapo baadhi ya wanachuo hadi mwaka unaisha tangia kufunguliwa vyuo mpaka sasa wapo baadhi ya wanachuo ambao hawajapewa fedha ya kujikimu?.

Maswali ya kujiuliza.
Je wanachuo hao watakula ninini? Hivi hao watumishi wa bodi wanaguswa na maisha ya watu kweli?
Kwann mliwapangia na mlijua hamtawapa kwawakati?
Sinibora mngewaachatu wakahangaika mtaani kuliko kuwanyanyasa kiasi hiki?
Kwanini wanufaika wa mkopo huo wanaonekana kama ombaomba au watoto wa kambo?
Hivi bodi ya mikopo mmnataka wanachuo wajidhalilishe ndio mfurahi? Mnataka watu waibe, wajiuze au waache vyuo ndio mtafurahi?
My. Rais hii bodi inakuhujumu,muondoemkurugenzi ni adui yako. Mabega yake yamepita kichwa

Mh. Rais wasaidie watoto wa watanzania wenzeko wanadhalilika kwani mbali na mamlaka uliyonayo nawewe ni mzazi,ni mama na nimwanajamii. Vaa viatu vya maskini wanaotaabika vyuoni. Tanzania niyetu sote.
 
Back
Top Bottom