Na zinasomema uongo kama Wachafu mawingu na wengine ndio mnazipenda kwakua wanawafurahisha matakwa yenu?Nimesikiliza taarifa ya habari ya BBC Swahili Leo hii saa tatu kupitia Star tv mwandaa maudhui na mtangazaji wake wamepwaya sana hasa kesi ya Lissu walivyoitolea taarifa.
Kila haki nyuma kuna wajibu,BBC wana malengo yao kama taasisi na hili siwalazimishi kubadilika sabu wapo kibiashara,malengo hayo yanasukumwa na sera za kimagharibi juu ya Afrika, mwenye nguvu avurugwe Ili wamtawale indirectly (western politics).
Kitendo cha wao kuwapumbaza baadhi ya waafrika wenzetu kwa kushindwa kutii tamaduni za kijiografia/kikanda na nchi husika kisipelekee kuleta insecurity-kila nchi ina sera zake na zinapaswa ziheshimiwe ukizingatia zinatii haki za binadamu ambazo ndio msingi wa sheria.
4R za mama zilikuwa wazi kabisa lkn mtu anapoibuka na kusema atafanya uhaini nchini atahakikisha nchi inavurugika kwa kukiwasha hasa, ni ukiukwaji wa wajibu wake na mtu akipelekwa mahakamani aliyempeleka anaonekana mbaya wakati kauli ya Lissu alivoitoa kuwa yeye atafanya uhaini hawakuitoa kwenye media zao kuonesha madhara ya kauli ile
Matokeo yake mtu mwenye dhamana ya nchi aliyopewa kisheria na ambaye anawajibika nayo anapotoa msimamo wake eti mwandishi wa BBC anasema anasema "amewakejeli" wanaharakati kwa kuwaambia kuwa Tz Sio shamba la bibi-ndio hivo huyu ni mkuu wa nchi pia ni Rais na ni Amiri jeshi mkuu wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama anatoa neno kama dira pindi anapoona mambo hayapo sawa sawia
Wito wangu, mamlaka ziangalie namna ya utoaji wa taarifa kwa hivi vyombo vya nje,vinapotosha,vinatweza mamlaka pia kupumbaza wananchi kwa maslahi yao binafsi
Mmekigawa chama mara mbili ndani ya miezi michache tu, watu wanakula wali hukoUnabubujikwa na machozi ukiwa wapi ndugu
Mkuu,Matokeo yake mtu mwenye dhamana ya nchi aliyopewa kisheria na ambaye anawajibika nayo anapotoa msimamo wake eti mwandishi wa BBC anasema anasema "amewakejeli" wanaharakati kwa kuwaambia kuwa Tz Sio shamba la bibi-ndio hivo huyu ni mkuu wa nchi pia ni Rais na ni Amiri jeshi mkuu wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama anatoa neno kama dira pindi anapoona mambo hayapo sawa sawia
Bado hamjasema,Wito wangu, mamlaka ziangalie namna ya utoaji wa taarifa kwa hivi vyombo vya nje,vinapotosha,vinatweza mamlaka pia kupumbaza wananchi kwa maslahi yao binafsi
Ng'ombe aliyehasiwa lazima anenepeYani Lissu aliepo gerezani anaonekana kunenepa na tabasamu usoni,lakin mlioko njee ndo vilio kila mudaa..
Baba wa kambo vs mzazi wa kibaiolojiašUnalia saa hizi, mbona bado sana. We subiri maji yachemke uone kama sisimizi yeyote atapanua tena domo kuwatukana hao mnaosema mabeberu. Tanzania siyo kisiwa.
Mshaurini huyo mtu wenu kwamba atende haki kwa Watanzania.
Je, wale waliotangaza hadharani kuwa wao ni wauaji, Mafia wamechukuliwa hatua mpaka sasa?
Ipo siku tunaelewana tu.
Weka ushindani wenye uwazi na haki kwenye uchaguzi, ukifichaficha na kuyumbisha mambo unatengeneza maswali4R za mama zilikuwa wazi kabisa lkn mtu anapoibuka na kusema atafanya uhaini nchini atahakikisha nchi inavurugika kwa kukiwasha hasa, ni ukiukwaji wa wajibu wake na mtu akipelekwa mahakamani aliyempeleka anaonekana mbaya wakati kauli ya Lissu alivoitoa kuwa yeye atafanya uhaini hawakuitoa kwenye media zao kuonesha madhara ya kauli ile