The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Wataalamu.
Mimi siyo mwanasheria. Napenda kujuzwa kwa Tanzania ni mamlaka ipi ina wajibu wa kufuatilia mienendo ya Raisi ili pale anapo kosea aambiwe au kuwajibika?
Tumeshasikia huko kwa wenzetu Raisi anaweza kufikishwa mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka. Mfano jacob zuma, Trump etc
Naomba kujuzwa