Mamlaka Nchini Ukraine zasema shambulio la Urusi limeua Wanajeshi 70

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
1646134570466.png

Mamlaka Nchini Ukraine zinasema shambulio la Urusi limeua Wanajeshi wapatao 70 kwenye Kitengo cha Kijeshi huko Okhtyrka, Mji ulioko kati ya Kharkiv na Kyiv.

Umoja wa Mataifa umesema idadi ya watu waliokimbia Nchini Ukraine kutokana na machafuko yanayoendelea imeongezeka kufikia 520,000.

Aidha, Rais wa Belarus Alexander Lukashenko ambaye ni Mtu wa karibu wa Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesema Vikosi vya Nchi hiyo haitaungana na vile vya Urusi dhidi ya Ukraine.
===

A Ukrainian official says a Russian artillery attack on a military unit in Okhtyrka, a city between Kharkiv and Kyiv, killed at least 70 Ukrainian soldiers on Monday.

Dmytro Zhyvytskyy, head of the Sumy Regional State Administration, posted photographs of the charred shell of a four-storey building and rescuers searching rubble.

Belarus has no plans to join Russia’s “military operation” in Ukraine, Belarusian President Alexander Lukashenko has been quoted as saying by the Belarusian state news agency, Belta.

Lukashenko also denied Kyiv’s allegations that Russian troops were attacking Ukraine from Belarus’ territory, Belta reported.
Ukraine’s Armed Forces say Russia is planning to involve the “most trained military units” of the Belarusian army in its invasion.

Belarus previously denied the claim on Monday.

“Belarusian servicemen are carrying out tasks in accordance with the Armed Forces’ training plan for the 2021-2022 training year within Belarusian borders only and are not taking part in the special military operation in Ukraine,” the Belarusian defence ministry said.

Source: Al Jazeera
 
Nataka Pro NATO na Pro Ukraine waje waseme Russia kashindwa. Zimepigwa Propaganda we mpaka western media zinaona aibu sasa kwa sababu wanaokufa ni watu sio mbuzi na mwisho wa siku wa-ukraine wakianza kutafutana ndio watasema walikufa
 
Mamlaka Nchini Ukraine zinasema shambulio la Urusi limeua Wanajeshi wapatao 70 kwenye Kitengo cha Kijeshi huko Okhtyrka, Mji ulioko kati ya Kharkiv na Kyiv.

Umoja wa Mataifa umesema idadi ya watu waliokimbia Nchini Ukraine kutokana na machafuko yanayoendelea imeongezeka kufikia 520,000.

Aidha, Rais wa Belarus Alexander Lukashenko ambaye ni Mtu wa karibu wa Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesema Vikosi vya Nchi hiyo haitaungana na vile vya Urusi dhidi ya Ukraine.
===

A Ukrainian official says a Russian artillery attack on a military unit in Okhtyrka, a city between Kharkiv and Kyiv, killed at least 70 Ukrainian soldiers on Monday.

Dmytro Zhyvytskyy, head of the Sumy Regional State Administration, posted photographs of the charred shell of a four-storey building and rescuers searching rubble.

Belarus has no plans to join Russia’s “military operation” in Ukraine, Belarusian President Alexander Lukashenko has been quoted as saying by the Belarusian state news agency, Belta.

Lukashenko also denied Kyiv’s allegations that Russian troops were attacking Ukraine from Belarus’ territory, Belta reported.
Ukraine’s Armed Forces say Russia is planning to involve the “most trained military units” of the Belarusian army in its invasion.

Belarus previously denied the claim on Monday.

“Belarusian servicemen are carrying out tasks in accordance with the Armed Forces’ training plan for the 2021-2022 training year within Belarusian borders only and are not taking part in the special military operation in Ukraine,” the Belarusian defence ministry said.

Source: Al Jazeera
Russia watajaribu silaha zao zote Ukraine
 
Mbona kidogo na nyinyi mnasema mmeuwa wanajeshi 6000 kwa siku siku 6 ina maana kila siku alfu. ukiongea uongo uwe na kumbukumbu nzuri wewe unauwa alfu kwa siku sasa wewe 70 tu unalalamika
 
Ukisikia 70 ujue idadi ni kubwa zaidi......

Kweli msako wa nyani ngedere haponi......
 
Kuna kichwa kinawindwa kwa udi na uvumba Kyiv na inaonekana mwamba yupo Poland
 
Back
Top Bottom