Mamlaka tupieni jicho nafasi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Kilimo (TADB)

Amefukuza Wafanyakazi 30 tu!! Mkurugenzi wa Shirika la Bila la Taifa- NIC kafukuza Wafanyakazi zaidi ya 90 tena unaondoka bila malipo yoyote.
Wewe ni mpuuzi.
Mchango kama huu unaongeza kitu gani kwenye mada husika?

NIC na hiyo Benki wanalingana kwa kila kitu? Na kwa kuwa NIC wanafukuza watu wengi, ndiyo iwe mfano kwa Benki na wao wafukuze watu wengi? Kufukuza watu kazi ndiyo kipimo cha ufanisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…