Usilazimishe mtu unayempenda abadilike hilo haliko ndani ya uwezo wako ila lipo ndani ya uwezo wake, wewe una mamlaka ya kuanza kubadilika na
1. Kuwa mtu sahihi
2. Kuchagua mtu sahihi,
3. Kuishi vizuri
4. Kuamini hujaumbiwa shida kwa hiyo ishi kwa furaha.
#LemaemmanuelThink