Mamlaka ya anayekulisha

Mamlaka ya anayekulisha

Lagrange

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2017
Posts
2,365
Reaction score
2,732
Habari wakuu !!,,

Leo nataka nitoe muongozo kidogo juu ya mamlaka ya anaye kulisha,,.Anaye kulisha kila siku ana mamlaka juu yako ya kukutuma ,kukuagiza ,kukupangia kazi ,kukupa maelekezo bila kujali wewe ni nani na yeye ni nani..

Poleni na changamoto za korona.
 
WaTz tunawalisha wanaofanya serikalini na wanasiasa, mbona wanachofanya ni kinyume?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaeza kumtuma mama yako au baba eti Kwakuwa yupo kwako unamlisha kila siku??
 
Habari wakuu !!,,

Leo nataka nitoe muongozo kidogo juu ya mamlaka ya anaye kulisha,,.Anaye kulisha kila siku ana mamlaka juu yako ya kukutuma ,kukuagiza ,kukupangia kazi ,kukupa maelekezo bila kujali wewe ni nani na yeye ni nani..

Poleni na changamoto za korona.
Umetumwa na mabeberu? [emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji124][emoji124][emoji124]

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom