WaTz tunawalisha wanaofanya serikalini na wanasiasa, mbona wanachofanya ni kinyume?Habari wakuu !!,,
Leo nataka nitoe muongozo kidogo juu ya mamlaka ya anaye kulisha,,.Anaye kulisha kila siku ana mamlaka juu yako ya kukutuma ,kukuagiza ,kukupangia kazi ,kukupa maelekezo bila kujali wewe ni nani na yeye ni nani..
Poleni na changamoto za korona.
Umenena vyema sanaWaTz tunawalisha wanaofanya serikalini na wanasiasa, mbona wanachofanya ni kinyume?
Sent using Jamii Forums mobile app
hiyo ni dhana tu,embu sema unamlishaje mtumishi wa umma???wahi kabla hajakuambia kwamba anakuhudumia.WaTz tunawalisha wanaofanya serikalini na wanasiasa, mbona wanachofanya ni kinyume?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umetumwa na mabeberu? [emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji124][emoji124][emoji124]Habari wakuu !!,,
Leo nataka nitoe muongozo kidogo juu ya mamlaka ya anaye kulisha,,.Anaye kulisha kila siku ana mamlaka juu yako ya kukutuma ,kukuagiza ,kukupangia kazi ,kukupa maelekezo bila kujali wewe ni nani na yeye ni nani..
Poleni na changamoto za korona.
Wewe ni mkwepa kulipa kodi nini? WaTz wote tuache kulipa kodi uone kama serikali na wanasiasa wataendelea kuwepo.hiyo ni dhana tu,embu sema unamlishaje mtumishi wa umma???wahi kabla hajakuambia kwamba anakuhudumia.
Sent using Jamii Forums mobile app