Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hoja kwa miguu na mikono, la sivyo wananchi bado wataendelea kutilia mashaka nyama na samakiTamko la makamu wa Rais kwamba samaki, na pengine nyama zinazouzwa zinaleta kansa, kwa kweli linaleta ukakasi.
Mamlaka ya chakula, tunahitaji ukaguzi wa kina nchi nzima, na taarifa za Kila siku au mwezi au wiki zitolewe
Tatizo nchi yetu inafanya siasa hata kwenye mambo ya msingi yanayohitaji utazuzi wa kitaalamuTamko la Kwanza la makamu wa raisi Ndilo sahihi...kilichofanyika hapa ni kuficha ukweli ili wananchi wasipate taharuki
Tamko la makamu wa Rais kwamba samaki, na pengine nyama zinazouzwa zinaleta kansa, kwa kweli linaleta ukakasi.
Mamlaka ya chakula, tunahitaji ukaguzi wa kina nchi nzima, na taarifa za Kila siku au mwezi au wiki zitolewe
Tbs hii kazi ya ukaguzi wa vyakula na vipodozi walishafeli kitambo..Mamlaka haiwezi kuingia kazini maana sio moja ya majukumu yake hayo..
Jukumu la ukaguzi upande wa chakula lilihamishiwa TBS….
TMDA (zaman TFDA) haihusiki tena na mambo yanayohusu chakula kwa ujumla wake..
Taasisi za Tanzania hazifanyi kazi bila kutumwa na ccmTamko la makamu wa Rais kwamba samaki, na pengine nyama zinazouzwa zinaleta kansa, kwa kweli linaleta ukakasi.
Mamlaka ya chakula, tunahitaji ukaguzi wa kina nchi nzima, na taarifa za Kila siku au mwezi au wiki zitolewe
lakini kama hao samaki wenye dawa za maiti wanaliwa nchi nzima kulikoni hiyo Kansa iwe kanda ya ziwa tu ?Mie nimeogopa sana baada ya Mh. Makamu wa Rais kuongelea hili suala la samaki wa Kanda ya ziwa, sitanunua samaki wa Ziwa Victoria kwa miaka mingi ijayo, napenda Sato au Sangara, ila sasa nitanunua wa kufugwa tu tena nitafuata kwa wenye home made fish pond..!! Nimeshtuka mno.
BTW hizo taasisi zenyewe kulingana na uzoefu wa utendaji wao, itakuwa sana sana, ni fursa nyingine ya kuwaongezea ulaji wa maafisa wake hao wa sijui TBS na TFDA ktk ukaguzi ..... hahahahaa....kaazi kwelikweli.....Mamlaka haiwezi kuingia kazini maana sio moja ya majukumu yake hayo..
Jukumu la ukaguzi upande wa chakula lilihamishiwa TBS….
TMDA (zaman TFDA) haihusiki tena na mambo yanayohusu chakula kwa ujumla wake..
Sio tu hivyo wakague na kuwapa leseni wote wanaojishughulisha na biashara ya vyakula,Tamko la makamu wa Rais kwamba samaki, na pengine nyama zinazouzwa zinaleta kansa, kwa kweli linaleta ukakasi.
Mamlaka ya chakula, tunahitaji ukaguzi wa kina nchi nzima, na taarifa za Kila siku au mwezi au wiki zitolewe
Tamko la makamu wa Rais kwamba samaki, na pengine nyama zinazouzwa zinaleta kansa, kwa kweli linaleta ukakasi.
Mamlaka ya chakula, tunahitaji ukaguzi wa kina nchi nzima, na taarifa za Kila siku au mwezi au wiki zitolewe
Naibu waziri "ametengua" (amekinzana na) kauli ya makamu wa Rais for good and un avoidable reasons.
Hawa unaowaambia wala hawajitambui! Ni wajinga Sana! Nchi hii ni ya wapumbavu Sana! Ccm hovyo!Tamko la makamu wa Rais kwamba samaki, na pengine nyama zinazouzwa zinaleta kansa, kwa kweli linaleta ukakasi.
Mamlaka ya chakula, tunahitaji ukaguzi wa kina nchi nzima, na taarifa za Kila siku au mwezi au wiki zitolewe
Wanaliwa sana Kanda ya ziwa kwakuwa ndio chanzo Chao kikuu huko kwingine Kuna vyanzo vingine vya samaki mfano ukanda wa pwanilakini kama hao samaki wenye dawa za maiti wanaliwa nchi nzima kulikoni hiyo Kansa iwe kanda ya ziwa tu ?
Haya ni maoni bora kabisa lakini sidhani kama wanasiasa wetu wanaweza kuyachukua na kuyafanyia kaziNaibu waziri "ametengua" (amekinzana na) kauli ya makamu wa Rais for good and un avoidable reasons.
Kulikua na machaguo mawili tu:
1. Kauli ya makamu wa Rais iendelee kuishi, soko la samaki wa kutoka Tanzania lidorole na kupeleka ugumu wa maisha kwa mvuvi.
2. Kauli ya makamu wa Rais ikanwe au kutenguliwa ili kuokoa soko la samaki na ustawi wa uvuvi.
Jukumu la msingi la wizara ya mifugo na uvuvi ni kuhakikisha kwamba, sekta yao (mifugo na uvuvi) inashamiri na kuchangia katika uchumi wa nchi na pia inaboresha hali za maisha ya wananchi (wafugaji, wavuvi na wote waliopo kwenye mnyororo wa thamani).
Kuboresha masoko na biashara ya mazao ya uvuvi ni miongoni mwa masuala nyeti kabisa katika kufikia uvuvi wenye tija kiuchumi.
Wizara hawakua na namna nyingine zaidi ya kuchagua njia ya pili (kuikana au kuikataa kauli ya bwana mkubwa).
Rai:-
Tunazo taasisi na mamlaka kadhaa zinazosimamia ubora na usalama wa chakula (hasa samaki) ili matumizi yake yasikete athari hasi kwa walaji. Mamlaka na taasisi hizo zifanye kazi zao kwa weledi na ufanisi.
1. Halmashauri zetu kupitia idara zao za uvuvi pamoja na idara za afya.
2. Wizara ya mifugo na uvuvi kupitia maabara ya taifa ya udhibiti wa ubora wa Samaki (NFQCLAB) pamoja taasisi ya utafiti wa uvuvi (TAFIRI).
3. Shirika la viwango (TBS).
Ukitoka Kanda ya ziwa ,Sato na sangara ,mikoa gani mingine inazasafirisha kwa wingi na wanapotoka hao samaki wa maji baridi?lakini kama hao samaki wenye dawa za maiti wanaliwa nchi nzima kulikoni hiyo Kansa iwe kanda ya ziwa tu ?