Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba(TMDA) ipitie upya baadhi ya Energy drink na vyakula

Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba(TMDA) ipitie upya baadhi ya Energy drink na vyakula

Acha wajinga waendelee kufa maana Janabi Kila siku anawaambia acheni kula hayo matakataka hamsikii
Sema hawaskii hii mada hainihusu ila kwaajili ya kuokoa Jamii ..nimeileta baada ya kuskia huo ushuhuda ila wajinga wanatupa mawe Kwa mjumbe badala ya kupokea ujumbe kama ulivyo letwa.
 
Sema kwahiyo gia mliyokuja nayo,..lazima watu waache kunywa, dadeki🙌🙌😂🔨
 
Wakati nipo chuo kuna mwamba mmjoa alikuwa anazigida haswaa kwa siku hata nne na alikua anazisifia coz zinamletea anachotaka yeye.
1. Alikuwa hataki usingizi wkt wakujisomea.
2. Anadai uchovu haupati kabs.
Hiyo ni miaka kumi iliyopita na ilifika mahala alikuwa addicted kabisaaa.
 
Kwahiyo ukinywa energy unawashwa sehemu ya haja kubwa?

Yani uache kuwashwa mdomoni na tumboni ukawashwe kinyeoni? Acha ungese
 
Hizi products zina addiction content, kuna jamaa yangu anakunywa kila siku hasa yeye anapenda hii ya kahawa.
 
Back
Top Bottom