sijui ila hebu tuambie wewe ni mtanzania?
Mimi ni mtanzania mama. Nimezaliwa tanzania, nimekulia tanzania, nimesoma tanzania na nimefanya kazi tanzania. Botswana nimekwenda hivi karibuni tu kutafuta maisha
Hope this meets your expectations
I think the best way is to check on the government website u can see government salary levels, bt forget about being paid well and prepare urself to be a corrupt manager!! Dats z tz
sasa ngoja nikujibu, baraza wako makin sana katika kujairi wao huwa hawahongeki wala hawaajiri kwa majina what matters kwao ni how can you demonstrate your competence. so jipange na hsa kama wewe ni post za statistics jipange zaid kwenye yale ma ki square,
e
Samahani mkuu, mimi naulizia mamlaka ya elimu siyo baraza la mitihani[/QUOTE
i see kweli nilichemka hawa mamlaka ni entity iliyoko chini ya wizara japo kuwa ni chombo huru. so hapo kwenye ishu ya usail ni 50/50]
Sina ufahamu kuhusu haki katika ajira. ila nasikia mishahara yao minono sana, about 3m -4m. katika managerial post mara nyingi upendeleo haufanyi kazi sana tofauti na junior post. jiandae vema na mwombe mungu akusaidieWakuu heshima mbeleNimeitwa kwenye interview katika mamlaka ya elimu tanzania kwenye managerial post, naomba mwenye ufahamu kuhusu mamlaka hiyo, anijuze mishahara yao, haki katika kuajiri (kama hawana upendeleo), allowances n.k. Nimeuliza kwa sababu niko Botswana kwa sasa ili nisichome nauli za bure, maana wengine huwa wanatangaza nafasi zikiwa tayari zina walengwa au wakati mwingine na watu wapo tayari ofisini.Naomba kama nimetumia maneno mabaya mniwie radhi, ni katika kuhangaika kutafuta maishaWasalaam
Sina ufahamu kuhusu haki katika ajira. ila nasikia mishahara yao minono sana, about 3m -4m. katika managerial post mara nyingi upendeleo haufanyi kazi sana tofauti na junior post. jiandae vema na mwombe mungu akusaidie