Mamlaka ya Hali ya hewa Kenya yadai mvua inayotakiwa kunyesha nchini humo imekwama Tanzania

[emoji23][emoji23][emoji23] Ama kweli walipie Kodi tuyaachie!
Watu tuna njaa kali ya kodi,halafu Kenya wanaleta mzaha.Watamjua Magu haki ya nani.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TA-1024 using Tapatalk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahajaja yalikuwa yanaenda Kenya kwa usafiri gani?
je? ni lini watatuma wataalamu kuyakwamua mawingu haya (mwandishi ilitakiwa ahoji)

sema kiswahili kinazingua itakuwa alikuwa na maana kwamba mawingu ya kuleta mvua yameishia Tanzania
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Kenya kufungua kesi mahakama ya EA kulazimisha Tanzania kuachia mawingu ya mvua yanayozuiliwa Tanzania.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Tusubiri kulipa mabilioni kwa kukiuka mkataba na Kenya.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Hehehe!! Nimecheka, ila kwa mlivyo wachawi sitashangaa ikatokea kweli mumeizuia, japo wataalam wanasema low pressure na maneno ya kitaalam lakini nyie nawafahamu vizuri sana, uchawi ndio zenu.
 
Kenyan rain stuck in Tz. Hicho kichwa cha habari hiyo kwenye mada yako na taarifa pia hailalamiki kuhusu yeyote kuzuia mvua. Wanaongea kuhusu upepo na pattern za mvua. Ila umejaribu sana mleta mada. Maanake utawahadaa wengi, ambao kiingereza huwa kinawapiga chenga, na wale wa kawaida pia. Wenye mazoea ya kuruka moja kwa moja kwenye comments.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…