Mamlaka ya Hali ya hewa Kenya yadai mvua inayotakiwa kunyesha nchini humo imekwama Tanzania

Hehehe!! Nimecheka, ila kwa mlivyo wachawi sitashangaa ikatokea kweli mumeizuia, japo wataalam wanasema low pressure na maneno ya kitaalam lakini nyie nawafahamu vizuri sana, uchawi ndio zenu.
Mshirikina wee
Ona mawazo yko
Nyie kutwa kulalama na watz
Dada zenu mnathlalamikia
Sahv mnakuja na vioja

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Idara ya hali ya anga nchini Kenya inasema kuwa kiangazi kitaendelea hadi mwisho wa mwezi huu huku upepo wa mvua ukisalia nchini Tanzania kutokana na kiwango cha chini cha upepo.
Mvua ndefu itaanza kunyesha katika maeneo mengi ya Kenya ifikiapo miwsho wa mwezi huu, wataalam wa hali ya anga wamesema.
Kaimu mkurugenzi wa shirika la hali ya anga nchini Kenya Stella Aura alielezea kwamba upepo wenye mvua umekwama nchini Tanzania kutokana na shinikizo ya kiwango cha chini ambayo haiwezi kuisukuma mvua hiyo kuelekea kaskazini mwa Kenya.
Mwezi Aprili ndio mwezi wa mvua ndefu nchini Kenya na onyo limetolewa katika maeneo kadhaa ya Kenya kuhusu kuchelewa kwake.
”Mvua ya msimu husababishwa na upepo wa mvua unaoelekea kaskazini lakini kufikia sasa upepeo huo haujaelekea kaskazini”, aliambia vyomb vya habari.”Mvua imekwama nchini Tanzania, mifumo ya upepo iliopo kusini haijashikamana kuweza kusukuma mawingu hivyobasi mvua itachelewa , lakini mvua itaanza kunyesha mwisho wa mwezi huu”, alisema.

Source: BBC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya vuta nkuvute ya muda mrefu watanzania wameamua kukwamisha mawingu yanayoelekea kenya wachambuzi wa maswala ya kisiasa wanasema hili ni jambo la hatar kuwahi kutokea nA hivyo wanamwachia rais wa kenya afanye maamuzi kwan tanzanja haivumiliki iliuchukua mlima kilimanjaro na sasa imeamua kuzichukua mvua za kenya chanzo bbc
 
 

Attachments

  • Screenshot_20190412-070904.png
    43.7 KB · Views: 20
Na itaendelea kukwama... As long as tumesharuhusiwa kuvuta mmea!
 
Hivi ni kweli kuna teknolojia ya kukwamisha mvua? na je ni kweli nchi zilizoendelea zina uwezo wa kuamua mvua inyeshe sehemu gani mana si kila eneo linahitaji mvua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehehe!! Nimecheka, ila kwa mlivyo wachawi sitashangaa ikatokea kweli mumeizuia, japo wataalam wanasema low pressure na maneno ya kitaalam lakini nyie nawafahamu vizuri sana, uchawi ndio zenu.
Wakenya hamjawahi kuwa na akili timamu kila jambo Tanzania hadi mvua duuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…