Mamlaka ya hali ya hewa, sema kitu, Joto limekuwa kali mno

Mamlaka ya hali ya hewa, sema kitu, Joto limekuwa kali mno

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Mamlaka ya hali ya hewa ingieni ofsi
Mmekuwa mkifanya utabiri ukienda kinyume mara kadhaa

Mlitabiri mvua kubwa mwezi February ila Sasa joto ni kali

Huku Kanda ya ziwa jua ni kali mno, Joto kama tuko Dar es salaam au Sudan

Twambieni utabiri kwenye mitambo yenu inaonyesha nini, tunapanda mahindi na maharage lakini hali ya joto ni kali
Vipi mvua zipo au?

Jua na joto ni kali huku Kanda ya ziwa ni kama pazia la mbingu limepasuka vipande
 
Back
Top Bottom