Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Huo utabiri wa mvua nao huwa wa kijumlajumla kama vile Mungu atatia maji ndani ya mtungi.TMA imejikita katika kutabiri kuhusu vipindi vya mvua na jua, hali ya mawingu, na kasi ya upepo tu. Siku hizi hata suala la mawio na machweo ya jua katika mikoa tofauti wameamua kulipotezea. Mambo mengine wameachia wanachi wajiongeze wao wenyewe.
Hawa kuna wakati wanavituko badala ya kutabiri wanaeleza sababu ya mvua iliyonyesha jana!Mambo ya serikali ndivyo yalivyo...
Timewasagia sana kunguni na tabiri zao za kubumba.Siku zote hali ya joto imekuwa ikipanda lakini hatuoni utabiri wenu, mmekuja na kiwango cha joto 33°C ambacho ni cha muda mrefu, tupeni kiwango sahihi.
View attachment 2860546
Hii ni tarehe 1 January 2024.
taifa linakaribia kumalizika kwa wa2 waneneSiku zote hali ya joto imekuwa ikipanda lakini hatuoni utabiri wenu, mmekuja na kiwango cha joto 33°C ambacho ni cha muda mrefu, tupeni kiwango sahihi.
View attachment 2860546
Hii ni tarehe 1 January 2024.
Waseme tu kwani tumewazoea.Timewasagia sana kunguni na tabiri zao za kubumba.
Sasa wanajiuliza mara nne nne kama waseme au wasiseme
Kasi ya upandaji miti hailingani na ya ukataji miti ambayo ni kubwa, pia hatuna mpangilio mzuri kama uliokuwepo enzi za ukoloni maarufu Shamba la Bibi.Pandeni miti
Tunzeni mazingira
Acheni kulialia na kulalamika
Ova