Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) yatoa angalizo la mvua kubwa katika mikoa mbalimbali nchini Tanzania

Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) yatoa angalizo la mvua kubwa katika mikoa mbalimbali nchini Tanzania

Cannabis

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
11,557
Reaction score
33,535
Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini Tanzania imetoa angalizo la mvua kubwa kwenye mikoa ya Mbeya, Iringa, Dar es Salaam, Pwani, visiwa vya Mafia, Ruvuma, Morogoro, Njombe, Lindi na Mtwara itakayonyesha Februari 23, 2022.

Aidha mamlaka hiyo imesema kutakuwa na upepo mkali kwa baadhi ya mikoa.

FMQU21uX0AELosf.jpeg

FMQU3kMX0AIjWAG.jpeg
 
Ni afadhali utabiri wa wapiga ramli unaweza kuwa na matokeo kuliko hao jamaa
 
Hii mamlaka imekaa kwa kuvizia vizia Sana

Yaan wanaangalia mawingu wakiona Kuna Dall za mvua wanakuja na statement yao

Dar inanyesha baadh ya maeneo huku mbagala kilungule n mawingu TU toka jana

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kikubwa tu Watu wana ajira na kupata riziki kulea familia zao, ndugu, Jamaa na marafiki, lakini utabiri wao a matokeo halisi ni mbingu na ardhi.
 
Ruvuma inasiku ya saba toka tar15 mpaka tr 22, inanyesha usiku tu tena kubwa asubuhi inakata ila toka utabili utolewe leo tarehe 23 haijanyesha hata kidogo
 
Back
Top Bottom