Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) yatangaza nafasi za ajira 524

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
MAMLAKA ya Mapato nchini (TRA) imetangaza nafasi za ajira 524 ili kujaza nafasi mbalimbali ikiwa ni pamoja na nafasi 206 za maofisa wasimamizi wa kodi.

Tangazo la TRA limeorodhesha idadi ya nafasi hizo na vigezo kwa waombaji na kwa ujumla waombaji wanapashwa kuwa tayari kufanya kazi popote pale katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

“Waombaji wote lazima wawe raia wa Tanzania wenye umri usiozidi miaka 45 isipokuwa kwa wale ambao nikatika Utumishi wa Umma,” taarifa ya Kamishna Jenerali Mamlaka ya Mapato Tanzania imesema.Mwisho wa kutuma maombi ni Juni 9, 2023

Bofya hapa kuona nafasi na kufuata utaratibu wa maombi
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…