Napendekeza kuanzishwa kwa app ya 'TRA EFD machine' itakayokuwa installed kwenye smartphone za wafanyabiashara ambapo itatumika kama mbadala wa EFD machine zilizozoeleka. Kwa sasa mashine moja ya EFD inagharimu takriban Tshs.800,000/=, lets say tunawafanya biashara milioni 1 wanaohitaji hizo...