R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,815 Reaction score 103,955 May 16, 2025 #1 kama Hakimu ananifanyia mambo ya kuninyima haki yangu naweza kumpeleka katika mamlaka gani kumshitaki (siyo mahakamani). Unaona kabisa kuwa huyu hakimu ana ubia na mshindani wangu . Mamlaka yake ya nidhani ni yapi?
kama Hakimu ananifanyia mambo ya kuninyima haki yangu naweza kumpeleka katika mamlaka gani kumshitaki (siyo mahakamani). Unaona kabisa kuwa huyu hakimu ana ubia na mshindani wangu . Mamlaka yake ya nidhani ni yapi?