BANGABABO
Member
- May 15, 2013
- 93
- 28
Kuna mashauri yaliyofikishwa mbele ya mahakama
na kufikiwa mamuzi(hukumu) kwa mfano wezi wa mabilioni ya feha za (EPA) mahakama iliwatia hatiani na kuhukumiwa kifungo leo tunaashuhudia mhe. Raisi kutumia madaraka aliyopewa kikatiba kutoa msamaha wa kuwafungulia wezi wa mabilioni ya fedha ya watanzani ambao wanashida ya nyingi, nakumbuka mwl Nyerere alisema kwa katiba hii ya 1977 mkimpata raisi.......ataitumia vibaya katiba hii. watanzania leo tunashuhudia usemi wa Baba wa Taifa.