Mamlaka ya Refa ni makubwa mno, FIFA iyatazame upya

Anonymous Caller

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2016
Posts
679
Reaction score
870
Football ni mchezo uliotengenezewa udikiteta mwingi sana..
Moja ya udikiteta huo ambao kwangu nauona kama kero ni role ya refa mchezoni..mathalani:

1. Uamuzi wa Refa utakuwa wa mwisho katika mazingira yeyote yale.

2. Mchezo hauwezi kurudiwa au matokeo kubadilishwa hata kama itabainika kulikuwa na makosa binafsi ya mwamuzi.

3. Refa ana mamlaka ya kukubali au kukataa goli kwasababu zake binafsi.
Maana yake ni kwamba hata goli likifungwa hadharani kwa mkono refa akalikubali; litahesabika kuwa ni goli...

4. Refa halazimiki kufuata Ushauri wa maamuzi wenzie wala maongozo ya VAR.....maana yake kumbe ni kwamba VAR ipo pale kama kifaa cha kumsaidia refa kuona vizuri lakini sio kumshurutisha.

5. Uamuzi wa kwenda chumba cha VAR kujiridhisha ni wa refa mwenyewe anaweza hata asiende.
Rejea mechi ya Mamelodi vs Yanga.

6. Vyombo vya kumwajibisha refa havina mamlaka ya kufanya hivyo mchezo ukiwa unaendelea..mpaka mpira uishe.na tayari refa kaumiza watu.

7. Refa anauwezo wa kurefusha mechi baada ya dakika za nyongeza kuisha..au kufupisha accordingly.rejea mechi ya Fountain gate

8. Refa anamamlaka ya kumaliza/kuzima mechi ghafla wakati watu wanaenda kufunga goli.
Rejea mechi fulani ya coastal.

9. Ni marufuku mchezaji kumgusa refa ila ni ruksa refa huyohuyo kumtia konde mchezaji.
Rejea Mapinduzi cup ya juzi refa alimtwisha ngumi mchezaji wa kenya.

Tukumbuke kuwa refa ni binadamu.
Mamlaka haya yamewajaza viburi mno.
 
bila hayo yote yanga angeshuka daraja washukuru
 
Hyo namba saba kwanini.usiweke ref..ya mechi ya Uto na Azam..Arajiga aliweka dkk 107...na dkk 9 juu...
Hahahhahahah
Na bado kikawaramba uto
Kwa mazingira yaliyopo uwanjani na maamuzi ya haraka yanayotakiwa; utaratibu uliyopo ndiyo mzuri kuliko vinginevyo.

There is no perfect situation in the world. Hatuwezi kuwa na Bodi ya Waamuzi katika mchezo wa mpira.
 
Kutakuwa na vurugu sana michezoni. Adhabu kali kwa marefa pamoja kuwekwa lupango kabisa.
Hivi unajua kuna refa alimtwisha ngumi mchezaji wa harambee stars kule Zanzibar mapinduzi cup...
Lakini hajatolewa tamko lakini kocha Fountain Gate ametozwa faini 500K kwa kumkosoa tu mwamuzi.
 
Back
Top Bottom