Elpaul JF-Expert Member Joined Jan 19, 2018 Posts 922 Reaction score 692 Nov 11, 2022 #21 Fupi, Safi na inayovutia laiti Kama viongozi wetu wateule wangekuwa na uzalendo wa namna hii tusingekuwa omba omba kiasi hiki mleta mada Mungu akupe wepesi.
Fupi, Safi na inayovutia laiti Kama viongozi wetu wateule wangekuwa na uzalendo wa namna hii tusingekuwa omba omba kiasi hiki mleta mada Mungu akupe wepesi.
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 Nov 11, 2022 #22 TMA yahitaji kuwa na weather satellites angalau 10 ili kuwa na accurate data.. tofauti na hapo ni ramli
TMA yahitaji kuwa na weather satellites angalau 10 ili kuwa na accurate data.. tofauti na hapo ni ramli
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 166,767 Reaction score 705,461 Nov 11, 2022 #23 Tindo said: Huwa sioni tofauti kati ya mamlaka ya hali ya hewa na waganga wa kienyeji? Click to expand... Aisee. M
Tindo said: Huwa sioni tofauti kati ya mamlaka ya hali ya hewa na waganga wa kienyeji? Click to expand... Aisee. M
Valencia_UPV JF-Expert Member Joined Mar 31, 2016 Posts 6,974 Reaction score 8,750 Nov 16, 2022 #24 Jitafakari wewe na dada zako