Sisi Waislam hatufuati matamanio ya nafsi zetu. Sisi tumejisalimisha kwa Mola Muumba wa Kila Kitu. Na kwa kuwa tumejisalimisha kwake, hivyo tutamuabudu Mola kama anavyotaka Yeye na sio kama tunavyotaka sisi.Going to church and mosque is a wastage of time and Money.
Saidieni wenye shida mbalimbali hiyo inatosha.
Wewe African na Uislam wapi na wapi?? Dini za wazungu na waarabu unazifanya kuwa zako?? Africans had their own ways of life before the coming of white men.Sisi Waislam hatufuati matamanio ya nafsi zetu. Sisi tumejisalimisha kwa Mola Muumba wa Kila Kitu.
Kwanza Uislam haukuja kwa ajili ya wazungu au waarabu peke yao.Wewe African na Uislam wapi na wapi?? Dini za wazungu na waarabu unazifanya kuwa zako?? Africans had their own ways of life before the coming of white men.
Brainwashed.Kwanza Uislam haukuja kwa ajili ya wazungu au waarabu peke yao.
Pili, Uislam ndio Dini ya asili kwa MwanaAdamu. Dini ya asili ya wazungu, waafrika na waarabu na wengineo. Hivyo muafrika kurudi katika Uislam, ni amerudi katika asili yake.
Ni ujinga kusema Uislam ni dini ya asili, hata kwa wakristo it's clear ukristo ulikua wa wayahudi sema tu walivyomkataa Yesu ndio akasema ihubiriwe kwa Kila mtu ila hata ukisoma bible it's obvious ukristo ni huko uyahudini. Same to Islam, ni wa mashariki ya kati na ndio maana hizo dini zinaitwa Abrahamic religions maana ni za mashariki ya kati hapo.Kwanza Uislam haukuja kwa ajili ya wazungu au waarabu peke yao.
Pili, Uislam ndio Dini ya asili kwa MwanaAdamu. Dini ya asili ya wazungu, waafrika na waarabu na wengineo. Hivyo muafrika kurudi katika Uislam, ni amerudi katika asili yake.