Tetesi: Mamlaka za juu zimetengua utenguaji

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Shikamo Mh Rais nafurahi sana unavyo waonyesha upo a head of them but silence i wish uwaonyeshe zaidi but more silence..
Walianza mjengoni ukawa kimya. Walipo ona husemi kitu wakaenda mbali nakukukashifu unampango wakumpeleka ndugu pale Kwa CAG, napo hekima ikatumika umekuwa kimya but silence ye work smart, ila kesho kutwa uwenda wana aibika wenyewe mzoga walio uingiza ndani na kujitangaza kwenye vyombo vya habari unawaozea wenyewe nakuwanukia wenyewe.

Mbaya zaid wataumwa pale watakuona una ongea na CAG tena mambo ya kazi wala sio umbea au vijembe na pia utaongea na uade mwingine mambo ya kazi...
Wakati haya hayajaisha yule wa kukata vichwa naye anajiuliza taratibu alizo tumia kukata vichwa na yale yanatokea nadhani sasa watu watajifunza kitu hasa wale wapo karibu sana na wewe.

Wao wanatumia vyombo vya habari kuleta sintofaham katika jamii wewe unapiga kimya kimya nakupunguza sintofaham ktk jamii..

Mbaya zaid walio tenguliwa walikuwa wakifuwatilia kesi nyeti ambazo uwenda hata wakata vichwa hawakujiuliza kilichopo nyuma ya pazia. yale yale ya yule mama pale mamlaka ya mawasiliano..
Jamani embu tujifunze Mh Rais yupo a head of us on issue very sensitive like this.. Tutamsema sana ila wateule wa Rais juweni kazi yenu sio kuwatisha watu na kufanya kazi kwa hofu. nyie mnawajibu mkubwa sana kufanya serikali ipendwe na watumishi wa serikali wapendwe.

Yapo mamb yakujaribu lakini mkifikia mahali mna tikisana mpaka mwimili unacheza ni aibu tena aibu kubwa sana yani kweli waziri anashindwa kukaa na IGP kuzungumzia maswala nyeti ya watendaji walio chini ya IGP? AU Spika mtu mkubwa sana anaweza kusimama na kumrushia maneno makali mteule wa Rais while zipo mamlaka zinazo weza kushughulikia hayo kimya kimya.

Mwanafalsafa mmoja akasema ukikimbizana na kichaa watu wanawaona wote ni vichaa, mwingine akasema sio kila kitu unapaswa kujibu kuna mambo ukikaa kimya usijibu hata kama ni shutuma mwisho wa siku anaye kushutumu ana aibika. Nampongeza Rais na idara zote za ikulu kwakuwa wavumilivu na kuepusha taasisi yetu nyeti kuonekana haitumii hekima

Sisi tunao angalia jicho lasita tunasema ni kweli kuna viashiria kuwa na uzalendo na taifa ama ni mtego mkijuwa wimbo ukianza kuna atakaye pokea?

Mungu ibariki Tanzania na Rais wetu.

Amen

Asante Magu nadubiria J3 nadhani wengi watazidi kusifu hekima na busara zako.Mun
 
Shikamoo Mh Rais nafulai sana unavyo waonyesha upo a head of them..
Walianza mjengoni ukawapigia kimya wakaenda mbali nakukukashifu unapeleka familia pale Kwa CAG kesho kutwa wana aibika wenyewe mzoga walio ingiza kwenye vyombo vya habari unawaozea wenyewe. Mbaya zaid wataumwa pale watakuona una ongea na CAG tena mambo ya kazi wala sio umbea...
Sasa yule wa kukata vichwa naye anajiuliza taratibu alizo tumia kukata vichwa n yale yanatokea nadhani sasa watu watajifunza.

Wao wanatumia vyombo vya habari kuleta sintofaham wewe unapiga kimya kimya..
Mbaya zaid walio tenguliwa walikuwa wakifuwatilia kesi nyeti yale yale ya yule mama pale mamlaka ya mawasiliano..
Jamani embu tujifunze Mh Rais yupo a head of you..
Kama hamjamuelewa endeleeni kutishiana wenyewe kwa wenyewe na kumfanyia unafiki mnamsaidia lakini hapakuchi mtashangaa anawaonyesha mnacho panga.
Asante Magu nadubiria J3 nadhani wengi watazidi kusifu hekima na busara zako.
Andika upya
 
Unaandika km unamuelezea shosti wako jinsi ulivyotemwa na mchepuko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shikamoo Mh Rais nafulai sana unavyo waonyesha upo a head of them..
Walianza mjengoni ukawapigia kimya wakaenda mbali nakukukashifu unapeleka familia pale Kwa CAG kesho kutwa wana aibika wenyewe mzoga walio ingiza kwenye vyombo vya habari unawaozea wenyewe. Mbaya zaid wataumwa pale watakuona una ongea na CAG tena mambo ya kazi wala sio umbea...
Sasa yule wa kukata vichwa naye anajiuliza taratibu alizo tumia kukata vichwa n yale yanatokea nadhani sasa watu watajifunza.

Wao wanatumia vyombo vya habari kuleta sintofaham wewe unapiga kimya kimya..
Mbaya zaid walio tenguliwa walikuwa wakifuwatilia kesi nyeti yale yale ya yule mama pale mamlaka ya mawasiliano..
Jamani embu tujifunze Mh Rais yupo a head of you..
Kama hamjamuelewa endeleeni kutishiana wenyewe kwa wenyewe na kumfanyia unafiki mnamsaidia lakini hapakuchi mtashangaa anawaonyesha mnacho panga.
Asante Magu nadubiria J3 nadhani wengi watazidi kusifu hekima na busara zako.
Nonsense at its highest level
 
Mwanamme kuandika kwa mafumbo aibu sana, kama mwalimu wako shule kafundisha kwa mafumbo hio shule inaitwa Vilaza school.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
CCM wengi ni vichaavichaa?

Ndiyo maana kuna wengine wanakula VICHWA VYA WATU.....!!!Ni hatari sana!
Ule utafiti kwamba katika kila Watz 4 kuna Mtz 1 kichaa ni ukweli mtupu na wengi wa Vichaa hawa wako CCM..!!!
 
Shikamoo Mh Rais nafulai sana unavyo waonyesha upo a head of them..
Walianza mjengoni ukawapigia kimya wakaenda mbali nakukukashifu unapeleka familia pale Kwa CAG kesho kutwa wana aibika wenyewe mzoga walio ingiza kwenye vyombo vya habari unawaozea wenyewe. Mbaya zaid wataumwa pale watakuona una ongea na CAG tena mambo ya kazi wala sio umbea...
Sasa yule wa kukata vichwa naye anajiuliza taratibu alizo tumia kukata vichwa n yale yanatokea nadhani sasa watu watajifunza.

Wao wanatumia vyombo vya habari kuleta sintofaham wewe unapiga kimya kimya..
Mbaya zaid walio tenguliwa walikuwa wakifuwatilia kesi nyeti yale yale ya yule mama pale mamlaka ya mawasiliano..
Jamani embu tujifunze Mh Rais yupo a head of you..
Kama hamjamuelewa endeleeni kutishiana wenyewe kwa wenyewe na kumfanyia unafiki mnamsaidia lakini hapakuchi mtashangaa anawaonyesha mnacho panga.
Asante Magu nadubiria J3 nadhani wengi watazidi kusifu hekima na busara zako.
Hivi kwanini tangu uzaliwe hujawahi kuandika cha maana zaidi ya kulamba miguu ya watu ?
 
Back
Top Bottom