Tetesi: Mamlaka za juu zimetengua utenguaji

Maji taka!
 
Kila watanzania 4 mmoja ni kichaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama nimekuelewa flani hivi. Ngoja tukijaaliwa nione hiyo jumatatu kama vile vichwa vimelika kweli kwanza[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

"ᴬ ᵐᵃⁿ ʷʰᵒ ˢᵗᵃⁿᵈˢ ᶠᵒʳ ⁿᵒᵗʰⁱⁿᵍ ʷⁱˡˡ ᶠᵃˡˡ ᶠᵒʳ ᵃⁿʸᵗʰⁱⁿᵍ"
 
Najuta kupoteza mda wangu kusoma uz wa kipuuz kama huu
 
Daah huu uwasilishaji sijui ni wa mwanamke gani maana.....!!?
 
Duu hili sijui ni zao la shule ya mkoloni au kata, maana uandishi huu unatisha
 
Sijawa kuona mleta mada anashambuliwa kiasi hichi....
Tumaini amakosa matumaini
 
Huyu huwa anapima upepo, akiona unavuma vibaya basi anawageuka aliowatuma ili ajinasue na apate kiki za kisiasa.

Hapa atataka kumgeuka Spika na pia Lugola anaweza kupigwa chini.
 
huyu jamaaa atakuwa ana odds za mla vichwa kuliwa sema kazidi kubana mno.. anyway tusubiri pale tutakapopata waziri mwingine
 
Mleta mada anatushtua jinsi mambo ambayo Mzee baba anavyo panga kumtosa Ndugai issue ya CAG ili ije imchachie yeye na Mzee baba kuonekana shujaa.
Habari nilizonazo, Bwana ukaguzi kaombwa na Mzee baba aende tuu Dodoma hakuna kitu kule kisha yeye atafanya kitu kuonyesha wako pamoja.
Hapa ndio ile katuni ya Kipanya inayosema create tatizo kisha litatue.
Kuna lile la Lugola na ma RPC, amri imetoka kupuuza amri hiyo, nani atatoa zaidi ya IGP maana yeye hawezi? Ni Mzee baba. Hivyo tusubiri kuona Lugola akiwa frasturated na zile mbwembwe kwisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…