Mamlaka za kiafrica ni kama zimelaaniwa. Kulikuwa na haja gani serikali za Equatorial Guinea kuvujisha video za ngono

Mamlaka za kiafrica ni kama zimelaaniwa. Kulikuwa na haja gani serikali za Equatorial Guinea kuvujisha video za ngono

Zegota

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2020
Posts
341
Reaction score
719
Wakuu habarini.
Hizi serikali zetu ngozi nyeusi zinapenda sana mambo ya kipuuzi ili kuzima ajenda zao Kwa wananchi

Kwa serikali yenye watu wenye akili kulikuwa na haja gani ya kuvujisha zile video za ngono?

Walienda kuchunguza kashfa za rushwa? Kwa nini baada ya kukutana na hizo video wangemfungulia kesi na ushahidi ukapelekwa mahakamani bila kusambaza?

Hata hapa bongo, Lile tukio la club kutishiana bastora, maafisa wa polisi baada ya kunasa video ya ngono waliivujisha. Huu ujinga uliopitiliza

Mbona P diddy pamoja na kashfa zote video zake zimebaki kuwa Siri.

Waafrica tuna ujinga mwingi sana.

Pamoja na yote, nikionacho Kwa skendo hii jamaa hachomoki lazma watamuua.
 
Back
Top Bottom