Mjukuu wa kigogo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 445
- 1,094
Wilaya ya Bunda Ina halmashauri kuu mbili, halmashauri ya wilaya na ile halmashauri ya mji wa Bunda. Wilaya hii Ina majimbo matatu ya uchaguzi; Bunda mjini, Mwibara na Bunda vijijni..
KISIASA
Wilaya ya Bunda inatawaliwa zaidi na siasa za vyama viwili, CCM na Chadema. Japo tangu Sintofahamu ya hatima ya Mbunge Esther Bulaya kuhusu uanachama wake katika Chadema, Chama cha Demokrasia na Maendeleo kinaelekea kujizika chenyewe!
Upande wa siasa unabaki kwa mafahali wa CCM walioanza kutunishiana misuli kulisaka jimbo. Kimantiki mshindi wa kura za maoni CCM ndie mshindi wa ubunge. Hii ni Kwa mazingira yoyote yale, huru na haki. Mamia ya wapenzi wa upinzani walikatishwa tamaa sana na Mbunge wa zamani Esther Bulaya kubaki kile katika WABUNGE wajulikanao kama COVID-19.
KIUCHUMI
Bunda ni wilaya inayounganisha barabara za
1. Mwanza-Bunda-Musoma,
2. Mwanza-Bunda-Tarime/Sirari
3. Mwanza-Bunda-Majita,
4. Mwanza-Bunda-Kisorya/ukerewe
5. Mwanza-Bunda-Mugumu
6.
Barabara hizi kimantiki zinatosha kabisa katika kuchangia kukuza uchumi katika wilaya husika.Bunda pia imezungukwa na migodi maeneo mbalimbali yaliyo ndani mfano kinyambwiga nk na yale yaliyo wilaya jirani mfano buhemba, seka, nyamongo nk. Pia wilaya hii imezungukwa na Ziwa Victoria ambalo tunafahamu umuhimu wake.
Kwa nini wana-Bunda wanaendelea KUBUNDA?
Kwanza wakazi wake wengi hasa wazawa wamepuuzia kabisa suala la elimu. Elimu kwao siyo kipaumbele. Watoto wengi wamesitisha masomo na kutafuta short cut za maisha. Hapa sasa ajira ya kamari ndio imefanywa mtaji na cha kushangaza hizi short cut zimepewa baraka na wazazi.
Wachina wanatumia advantage hii kujaza madude yao kila kona ambako utakuta under 18 wengi tu wakicheza muda wa masomo. Watoto wamejikita pia katika uuzaji dhahabu feki ambapo wanakuwa trained na experts mbalimbali waliobobea kwenye utapeli. Wanafunzi haohao wamerasmisha aiira ya bodaboda kuwa ajira rasmi.
Pia kwa watu wazima wameacha kushughulika na kazi rasmi na kuhamia kwenye kwenye kamari. Betting sasa ndio ajira rasmi, ukiamka saa 1:00asubuhii utakutana na mamia ya wananchi wakielekea katika vituo vya betting hapa sasa unaweza kuta familia nzima, baba, mama, watoto, wajukuu Kila mmoja na mkeka wake wanaenda kujaribu bahati ya kubeti Tsh.500 ili upate milioni 10! Hili ni janga Kwa siku za baadae!
Kichekesho kingine ni Kwa watu wazima hasa kina baba wenye familia kushinda vijiweni wakibishania story za kipumbavu hasa utajiri wa wamiliki wa mabasi wanaoishi musoma/Tarime.Utasikia tu "Kwa sasa Zacharia anapigwa bao na Johanvia"Mwingine atadakia " Hivi unajua kisire na mama wameshea baba"Yaani ni ujinga ujinga tu!
KIUSALAMA
Watu wa bunda hawatoi ushirikiano kwa jeshi la polisi kuhusu wahalifu. Mfano kuna mtu anaitwa Mambire Gosinda huyu inasemekana ndie master plan wa uhalifu wote hasa ubomoaji unaotokea bunda. Ana connection kubwa sana na majambazi wanaotokea lamadi. Hawa hufanya na kuchora ramani za uhalifu katika maeneo husiku.Siku huyu jambazi akibanwa haswa bunda itatulia haswaa. Huyu bwana huingia zaidi usiku bunda nyakati za usiku. Huyu pia ana mtoto wake wa kiume anaitwa zeli. Ni under 18 ila tayari ni mhalifu sugu. Mwezi uliopita tu katoka jela. Hii connection ikifuatwa kwa ukamilifu uhalifu utaisha.
Wakabaji wa raia usiku;
Jeshi la polisi mtafuteni kijana mmoja anaitwa Jose Onyango tumieni njia zote za kiinteligensia kumpata. Huyu ni mmoja kati ya vijana wanaopora raia simu na pesa nyakati za usiku na kwa wasafiri wanaowahi mabasi alfajiri. Huyu pia ni shemeji yake Mambire Gosinda!
Pia jeshi la polisi mtafuteni kijana mmoja aitwaye Fau Lanca ambaye mara nyingi hutembea na kisu kiunoni. Huyu mbali ya kuwa mwizi sugu ila ni mtu anayenyanyasa sana wanawake kijinsia. Huyu kijana hupendelea zaidi kutembea na pikipiki isiyo na 'keria' na ambayo hutoa mlio wa kukera sana na Moshi mwingi. Mkimpata mtaelewa mengi.
MLEMAVU ANAYEUZA BANGI
Kuna baba mmoja MLEMAVU hutembea na kibegi kikichochakaa. Ndani yake Kuna bangi. Amekuwa alitumia magongo kutembea na kufanya biashara yake pasipo kustukiwa. Watumiaji wanapomuona tu humfuata na kuchukua huduma. Hana kituo maalum ila anazungukia maeneo yote ya Bunda mjini.
USHAURI WANGU
1. Mkazo uwekwe hasa kwenye betting centres,muda wa kazi watu wautumie kufanya kazi.
2. Polisi iwachukulie hatua wanafunzi watoro pamoja na wazazi wao.
3. Kuhusu ulinzi wa raia na mali zao polisi iwabane wahusika niliowataja hapo juu.Lakini pia polisi mjifunze kutunza Siri mnapopewa taarifa raia wengi wanalalamika baadhi ya askari mnakula keki Moja na wahalifu.
4. Kama Kuna uwezekano kufunguliwe vyuo vingi vya ufundi kukabiliana na changamoto za kimtaala kwa wanafunzi wanaofeli basic subjects
5. Kama bajeti itaruhusu taa za Barabarani ziendelee kuwekwa kukabiliana na uhalifu
Itaendelea..........
6.Dc- Bunda,RPC Mara,OCD Bunda,ted-Bunda mji wanatimiza majukumu yao vizuri waungwe mkono na kila anayeitakia maendeleo bunda.Ila pongezi zaidi Kwa OC-Cid bunda Huyu jamaa ni mtu na nusu anapambana haswa usiku na mchana.Apewe ushirikiano mkubwa.Pia mtendaji mtaa wa Nyerere bunda mji apewe nguvu ni hazina haswaa
Cc DC Bunda, RPC Mara,ocd bunda,ted-bunda mji,watendaji wa mitaa wote bunda mji nk