Mamlaka za NIDA, MAKAMPUNI YA SIMU PAMOJA NA TCRA KUWENI MAKINI

Uhuru24

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
4,112
Reaction score
4,361
Habarini ndugu zangu humu ndani, najaribu kuwakumbusha mamlaka husika hasa za Simu, TCRA pamoja na NIDA kuwa makini sana, vinginevyo tutarajie watu kupata matatizo ambayo sio ya kwao.

Bado najaribu kukusanya ushahid kisha kuubwaga hapa, kuna uwezekano mkubwa wa watu kuuziwa laini ambazo si za kwao na hawa wanaosajiri laini mitaani.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hili liko wazi mbona
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na anasema wateja wao wakubwa ni wahindi, huko anasema wanauza laini mpaka 50,000.

Ningeshauri kwamba serikali kupitia hao TCRA waweke mfumo kupitia hiz hiz simu zetu tuweze kuangalia kitambulisho chako kimesajiri laini ngapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…